Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,606
Faida ni kuaminika na jamii kwamba una pesa kumbe baadhi ni makapuku .
Dah!Jamaa mgumu kuelewa.Sidhani kama hajabugia "mbege"!
Hivi kuna faida nyingine ya kuwa na kitambi tofauti na ile ya kufutia kioo cha Simu?