Hivi kuna Dua kwa mtoto wa kike inafanyika usiku?

Wakuu mimi ni mkristo ila nna binti wa kiislam yaani ni mpenzi wangu, hii ni mara kama ya 4 anatoka kwao kuanzia saa 2 usiku anasema anaenda kwa Ostadh kuombewa duwa na huyo ostadh amekuwa akimpigia simu some time.

Ningependa kueleweshwa ili nisije nikawa nakosea maana kila sehem kuna imani na sheria zake ila ningependa kujua na kueleweshwa na ndugu zangu waislam kama kuna utaratibu wa mabinti kwenda usiku kupata huduma ya Dua pasipo kusindikizwa na mtu yeyote

Ni dua gani ya faragha baina ya watu wawili jinsia tofauti tena usiku , na mwanamke anaenda pasipo kuhitaji kusindikizwa na mtu yeyote tena usiku?

Hii ipo sawa?
Kwa ostazi?
Sory ulishakagua ule upande wa pili?
 
Endelea kukaa hivyo hivyo,badala na wewe utafute kwaya uwe unaenda mazoezi ya kwaya kuanzia saa 1 usiku

unakazi ya kumuangalia mwenzio akienda piga dua,Acha uzembe wewe tafuta hata mama Mchungaji na wewe

uwe unaenda kufanya maombi au mtafute mlima mpande mlimani mida hyo hyo anayoenda mwenzako,we shauri

lako mwenzako ataenda mbinguni we utabaki hapa hapa duniani,Changamka we chaliii au we hutaki maombi nini?
 
Umemshauri bonge la point babe
 
Kabla cjasoma comment za wadau kwenye huu uzi wako kuna gepu za kutosha kwanza inaonekana huyo demu huishi naye anakaa kwao ninejiuliza swali moja anapo aga kwenda kusomewa dua Ana aga kutoka wapi kwao au anapofika kwako? Kwa akili za kawaida mpenzi wako ata aga vipi kwenda kusomewa dua nyakati za usiku tena pekeyake na wala si mara moja?

Mademu wa dizain hii mnawaokotea wapi? Kwa uelewa wangu hii halina haja ya kukushauri lipo wazi kabisa huyo dem hakufai kwanza unaonekana mvumilivu sana au ndo kesha kutengeneza bila wewe kujua? Una malengo naye kweli inawezekana kuna maslahi flani anapata toka kwako lakini mapenzi anapatia sehem nyingine

Any way ningeweza kuzungumza mengi sana ila mwisho wa siku mwenye mamuzi ya mwisho ni wewe ila kwa mtazamo wangu huyo demu hakufai hata kwa matumizi kachini tuliza akili fanya mamuzi sahihi utapata mtu wakuendana na wewe ......
 
Dini inaruhusu kumsindikiza. Msindikize
Wakuu mimi ni mkristo ila nna binti wa kiislam yaani ni mpenzi wangu, hii ni mara kama ya 4 anatoka kwao kuanzia saa 2 usiku anasema anaenda kwa Ostadh kuombewa duwa na huyo ostadh amekuwa akimpigia simu some time.

Ningependa kueleweshwa ili nisije nikawa nakosea maana kila sehem kuna imani na sheria zake ila ningependa kujua na kueleweshwa na ndugu zangu waislam kama kuna utaratibu wa mabinti kwenda usiku kupata huduma ya Dua pasipo kusindikizwa na mtu yeyote

Ni dua gani ya faragha baina ya watu wawili jinsia tofauti tena usiku , na mwanamke anaenda pasipo kuhitaji kusindikizwa na mtu yeyote tena usiku?

Hii ipo sawa?
 
Uzi upewe tuzo Kwa comments za kuondoa stress!😅😆😂🤣
Mbona kama ni Uzi wa Kula Tunda kimasihara???
 
Unaliwa wewe, sheria za Kiislamu zinakataza watu kama hao kuwa faragha, yaani haipaswi kabisaaa.
 
Kabla cjasoma comment za wadau kwenye huu uzi wako kuna gepu za kutosha kwanza inaonekana huyo demu huishi naye anakaa kwao ninejiuliza swali moja anapo aga kwenda kusomewa dua Ana aga kutoka wapi kwao au anapofika kwako? Kwa akili za kawaida mpenzi wako ata aga vipi kwenda kusomewa dua nyakati za usiku tena pekeyake na wala si mara moja?

Mademu wa dizain hii mnawaokotea wapi? Kwa uelewa wangu hii halina haja ya kukushauri lipo wazi kabisa huyo dem hakufai kwanza unaonekana mvumilivu sana au ndo kesha kutengeneza bila wewe kujua? Una malengo naye kweli inawezekana kuna maslahi flani anapata toka kwako lakini mapenzi anapatia sehem nyingine

Any way ningeweza kuzungumza mengi sana ila mwisho wa siku mwenye mamuzi ya mwisho ni wewe ila kwa mtazamo wangu huyo demu hakufai hata kwa matumizi kachini tuliza akili fanya mamuzi sahihi utapata mtu wakuendana na wewe ......
Umenena sana
 
Kwanza kabisa hakuna kitu kama icho katika uislamu na pili usizini na binti wa kislamu utapata madhara
 
Wakuu mimi ni mkristo ila nna binti wa kiislam yaani ni mpenzi wangu, hii ni mara kama ya 4 anatoka kwao kuanzia saa 2 usiku anasema anaenda kwa Ostadh kuombewa duwa na huyo ostadh amekuwa akimpigia simu some time.

Ningependa kueleweshwa ili nisije nikawa nakosea maana kila sehem kuna imani na sheria zake ila ningependa kujua na kueleweshwa na ndugu zangu waislam kama kuna utaratibu wa mabinti kwenda usiku kupata huduma ya Dua pasipo kusindikizwa na mtu yeyote

Ni dua gani ya faragha baina ya watu wawili jinsia tofauti tena usiku , na mwanamke anaenda pasipo kuhitaji kusindikizwa na mtu yeyote tena usiku?

Hii ipo sawa?
Sasa hapo shida iko wapi? Wew ni mzinzi, ustadhi pia mzinzi mwenzio, binti anawapa kila mmoja kwa muda wake. Tulia hivohivo
 
Back
Top Bottom