Hivi kuna Div 4 ya D moja

commm

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,674
1,905
Leo mida fulani hivi nilimuuliza dogo langu ambae amepiga pepa la form mwaka jana 2020 anipe matokeo yake nikiwa na shauku labda dogo amepiga vizuri pepa.

Dogo ameniambia amepata Div 4 yenye D moja, na masomo mengine amepiga mswaki (F).

Hivi wakuu kuna Div 4 ya D moja kweli?
 
Back
Top Bottom