nyanga kante
Member
- Jan 7, 2017
- 36
- 34
Jamani naomba msaada kuhusu hili, kuna rafiki yangu ana miaka 17 tu ila tayari ameshaanza kupata dalili za upaa kitu ambacho kimekua kikimletea msongo wa mawazo. Naomba kujua kama upaa una tiba au ukikupata tu ndo milele, na kama una tiba ni ipi?