Hivi kuna chuo kinachotoa degree kwa walimu wa diploma wenye GPA ya 2.7 ?

Hv kuna chuo kinachotoa Masomo ya degree ya kwanza kwa walimu Wa diploma wenye GPA ya 2.7 na kuendelea?
 
Hivi kuna chuo kinacho degree kwa walimu Wa diploma wenye GPA ya 2.7 na kuendelea?....
Ukisema na kuendelea means hadi 5.0 hapa unapata chuo chochote dunian.
Ni vyema ungekuwa na specific target bro don't beat around the bush sema unayo ya ngapi usaidiwe.
 
Kwa hyo ata wale waliosoma diploma ya necta kipindi kile nao GPA 3.0 had 3.5?
 
Na kama una GPA chini ya tatu unatakiwa kufanya nn kuresit form 6 au VP naomba kujua hlo
 
Na kama una GPA chini ya tatu unatakiwa kufanya nn kuresit form 6 au VP naomba kujua hlo
Hahah....we jamaa u made my day.
Form six haihusian na GPA yako ya chuo maadam ulikuwa na vigezo vya kuingia chuo. Hata kama utapata one ya 3.
What you can do kama una kiu sana na degree anza upya hiyo diploma.
 
Au resit form six upate matokeo mazur uende moja kwa moja degree.
 
Maana ukiwa na GPA 2.7 we ni wa kupiga kaz tu ukitaka shahada inabid ukasome tena diploma nimekuelewa ...hii nchi back ngumu
 
Back
Top Bottom