MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Hawa watu wako kimya kana kwamba hawajui kinachoendelea, wamejiinamia chini viongozi wangu hawataki kusema chochote. Tukimtanguliza Mungu tukaacha unafki, hawa mawaziri nyoyo zao zinakiri kabisa kua anachokifanya RC wa DSM sio sahihi na Mh Nape ameonewa waziwazi.
Wakumbuke kua kwa useme wa lisu kua leo kaanza na Nape kesho wao na hakuna atakayesalia.Walitakiwa waanze kuachia ngazi moja baada ya mwingine kuonesha kutokukubaliana na ukiukwaji wa msingi na taratibu za utawala bora.