Hivi kuna app inayoweza kupunguza mwanga wa tochi ya simu?

MzaramoTz

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
1,829
2,986
Heshima kwenu wakuu.

Kama mada inavyojieleza hapo juu naomba kujua kama kuna App yoyote inayoweza kupunguza mwanga wa tochi kwenye ukawa aidha hafifu au wa wastani kiasi.

Najua kuna wataalam hapa that's why nikasema niulize hiko kitu wadau.

Thanks.
 
Back
Top Bottom