Hivi kuna alowahi kutajirika au kupata mapesa magari na nyumba kwa hawa jamaa wa marketing kama wanavojinadi

Spark

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
1,001
1,024
Hivi alowahi kutajirika au kupata mapesa magar na nyumba kwa hawa jamaa wa marketing kama wanavojinadi ni nani anipe ushuhuda? Mana vijana wengi saiv badala ya kufanya kazi nawaona wanavomiminika pale makumbusho juu ya lile gorofa wakitaka utajiri!! Cjui wanajiita global allayance..kujiunga uwe na 560,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu acha kabisa huo ujinga we bora ulime bangi tu hata serikali itakuelewa

komando kinjekitile ngwale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom