Hivi kuna aliyeitwa kwa usaili British Council?

The Blaze

Senior Member
Mar 23, 2016
163
101
Igwee wakuu, hivi majuzi hawa jamaa walitangaza nafasi kadhaa zikiwemo invigillators, kuna aliyeitwa atujuze?
 
Mwenye uzoefu na hawa mabwana wa British Council Tanzania katika masuala ya kazi na ajira atujuze
 
Mkuu ukiomba kazi unaipa kama wiki 3 hivi baada ya deadline kupita...kwa kifupi ipotezee mazima kama uko full watakucheki tuu....
 
Back
Top Bottom