Hivi kuna 100% proof kinga kwamba Rostam hawezi kulipwa kinyemela?

Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
444
19
Ikionekana kwamba pressure ya sakata la Dowans inaelekea kupeleka taifa kwenye giza zaidi, haiwezekani yakafanyika malipo kinyemela, na jambo hili likazimwa kwa magakama kutoa uamuzi kiini macho????????????????? Lisemwalo lipo............!!!!!!!!!!!!!!
 
huyu nafikiri ameshalipwa.
Jiulize wastaafu wa eac walipoandamana kuhusu malipo yao serikali ilikaa kiao kujadili namna ya umhimu wa kuwalipa???, lakini lilipokuja swala hili kikwete na serikali yake aliitisha kikao na kujadili umhimu wa haya malipo kufanyika
 
Inawezekana kabisa huyu Rostam akalipwa kinyemela kwani mbona Pinda alitamka kuwa ni lazima wamlipe na swala hilo halitapelekwa bungeni tena!! Ina maana wamekwisha amua kuwa come rain come sunshine mbulushi atachukua furushi lake wakagawane na genge lake!
 
WanaJF wenye taarifa za uhakika tuhabarisheni, maana inaonekana inawezekana kabisa wakalipana kinyemela kulifanya taifa hili la mabwege!!!!!!!!!! Masikini Tz!!!!!!!!!:msela:
 
Back
Top Bottom