Hivi kumshika tako mpenzi wako hadharani ni vibaya au?

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,913
14,797
Swali kama lilivyo hapo Juu
Naombeni majibu na mitazamo yenu

Picha imeongea yote jamaa

Screenshot_20190217-212150~2.png
 
Inategemea na jamii mnayoishi na jinsi mnavyojichukulia kwenye hiyo jamii.

Kwangu mimi ni vibaya, maadili yangu yananisuta! Nitamshika mabega, mgongo na mwisho kiuno ila kuchezea kalio ni ishu private zaidi!
Heheheeh
 
Back
Top Bottom