Hivi kumbe centipede yupo hivi?

Yaani ni bora umesema mkuu..huyu jamaa kuingia ndani hachagui..unaweza ukawa msafi kuliko ndani lakini akatoka kwenye mashimo yake akaja kwako
hao tandu hawakai kwenye uchafu watu wanashindwa kuelewa...

tandu anakaa kwenye mashimo yaliyo ardhini na kwenye majani kwa hyo hata kama kwako una garden na mauwa mengi ujue tandu anaweza kukaa...

sasa kipindi cha mvua makazi yao yanaingia maji katika kutafuta sehemu kavu na joto ndio wanaingia ndani
 
Asante kwa hili

Umeme umekatika.. Nlikua nasomasoma jf ghafla nahisi kitu mguuni akapenya anaingia ndani ya suruali.. Kama sio kujikunguta kwa nguvu sijui ingekuaje
Ana spidi kali
Hapa nkiguswa na mu naruka

Na je ikiwa atakung'ata ana sumu? Madhara yake?

Anaitwa centipede kwa kiingreza
Kiswahili tunamwita tanduView attachment 969232
Utotoni nilisikiaga kuwa uking'atwa na Tangu dawa yake ni maziwa ya mbwa. Sijui kama kuna ukweli wowote au lah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom