Hivi kumbe yupo hivi?

Ndo hivo ila hapo unaona tumbo hilo huku anajiedit figure namba nane
Haya Ma filter yanadanganya Sana Mi kuna siku nilimuona Yule lulu live live.. Nikasema haya udambwi udambwi yakifala sana. Ila huyo Irene Ni anamvuto kiukwel hata nje ya Ma filter
 
Rafiki wewe mbona una sura mbaya sana na hatusemi kitu!
48220025_330403957781672_8301954114225438720_n.jpg
 
Back
Top Bottom