Hivi Kumbe yawezekana wote wanaotajwa asiwepo hata mmoja kuwa Rais wa Tanzania 2025/2035

Bora nchi wachukue waislam maana wana moyo wa uluma sisi wakatoriki cjui tunakwama wapi? Roho za kinaa,chuki ghiliba ata sielewi tuna tatzo gani yani kiongozi anapewa mamlaka anataka anao watawala walimie meno? Matajili waishi kama mashetani kweli? Hapana bwana nafkl twende na January makamba 2020 uzuri ametokea kagera kwa mama yake na ata gongo amewai kuuza pale kyaka japo baba yake ni mtu wa Tanga na mwislamu pure ila uyu anaweza kubalance nusu mwislamu nusu mkatoriki.
Katoriki ndio kitu gani mkuu

Jifunze kwanza kuandika siasa zitakuchakaza ubongo chief!
 
Kwahiyo chama cha mashetani ccm, wana mpango wa kumsukumiza mwanamke safari hii .Sio ajabu wakaja kituko chochote mile ,maana kuteua mgombea mpaka wapige ramli kwanza wamuulize mungu wao wa mwenge nyamrunda awaongoze .
 
Ni vigumu kuamini sentensi kama hii maana uzi kama huu lazima uwe mchungu kwa
January Makamba
Mwigullu Nchemba
Bernard Membe
Hamiss Kigwangalla
Tundu Lissu
Paulo Makonda

kwakuwa hawa ndo wanatajwa tajwa sana na watuwatu wanaokubaliana nao,

Lakin mliwai kufikiria Tanzania kuongozwa
A.KIJESHI ?
Maana sioni kama kuna mtu anawaza suala ili kwa kina, kwasababu si kila nchi inayotawaliwa kujeshi walipenda hapana, ni kwamba waliopewa dhamana by a uongozi awali walivuruga mpaka kuingilia demokrasia, uchumi wakauyumbisha, vikwazo juu ya vikwazo ili likapelekea jeshi makini kufanya mapinduzi , je mmeweka akilini kwamba ili laweza tokea?

B.KUONGOZWA NA MWANAMKE?
Tanzania yenye chama chenye nguvu kimoja yaan CCM ,kinachezea demokrasia kitakavyo kulingana na mifumo ya kiutawala inayokibeba, na akipita mtu automatically ndo anakuwa rais,
Tumeona CCM ikianza mchezo wa chenga za gaucho kwenye kuteua wagombea mbali mbali,
Tuanze na spika wa bunge 2010,
Upitishwaji wa Magufuli 2015

Sasa usishangae kwa hali na mali wanaleta Mgombea Mwanamke, mbaya zaid ukakuta ni Tulia Akson, so lazima huyo ila imebidi niwaze hivyo

Britanicca
Samia Suluhu 2020-2025
 
Membe na January Uwezo wa peperusha bendara wanao kwani sio wapenda promo za ajabuajabu kama wanajifunza badala kuishi
 
Sijawahi kuona mhaya anachanganyikiwa kiasi hiki.
Yaani Tulia amuongoze nani?

Alafu eti ccm ccm ccm nani kakudanganya kuwa ccm ndiyo ina uhalali au ina leseni ya kuiongoza Tanzania miaka yote?

Naona akabandule na olubisi vinafanya kazi yake
Ni vigumu kuamini sentensi kama hii maana uzi kama huu lazima uwe mchungu kwa
January Makamba
Mwigullu Nchemba
Bernard Membe
Hamiss Kigwangalla
Tundu Lissu
Paulo Makonda

kwakuwa hawa ndo wanatajwa tajwa sana na watuwatu wanaokubaliana nao,

Lakin mliwai kufikiria Tanzania kuongozwa
A.KIJESHI ?
Maana sioni kama kuna mtu anawaza suala ili kwa kina, kwasababu si kila nchi inayotawaliwa kujeshi walipenda hapana, ni kwamba waliopewa dhamana by a uongozi awali walivuruga mpaka kuingilia demokrasia, uchumi wakauyumbisha, vikwazo juu ya vikwazo ili likapelekea jeshi makini kufanya mapinduzi , je mmeweka akilini kwamba ili laweza tokea?

B.KUONGOZWA NA MWANAMKE?
Tanzania yenye chama chenye nguvu kimoja yaan CCM ,kinachezea demokrasia kitakavyo kulingana na mifumo ya kiutawala inayokibeba, na akipita mtu automatically ndo anakuwa rais,
Tumeona CCM ikianza mchezo wa chenga za gaucho kwenye kuteua wagombea mbali mbali,
Tuanze na spika wa bunge 2010,
Upitishwaji wa Magufuli 2015

Sasa usishangae kwa hali na mali wanaleta Mgombea Mwanamke, mbaya zaid ukakuta ni Tulia Akson, so lazima huyo ila imebidi niwaze hivyo

Britanicca
 
watanzania watakua viazi sana, sensa ya mwaka 2012 ilionesha kuwa 44% ya watu wote walikua chini ya miaka 15, kufikia 2025 demographic ya nchi itakua imebadilika sana, na upinzani ukiwekeza vyema kwenye vijana na kupanga mipango ya muda mrefu (na sio upuuzi wa kukodi wagombea CCM na kutumia nguvu nyingi kusaka urais badala ya kuongeza wabunge) watakao kua hai wanaweza kuing'oa CCM for good.
Wazo zuri sana
 
Nafasi ya Urais imechezewa na kudhalilishwa mno to the extent sasa tunafikiria mtu aliyefail standard 4B mara tatu na kufoji vyeti eti na yeye anatajwatajwa kuweza kushika nafasi ya Urais. Ama kweli
 
Ni vigumu kuamini sentensi kama hii maana uzi kama huu lazima uwe mchungu kwa
January Makamba
Mwigullu Nchemba
Bernard Membe
Hamiss Kigwangalla
Tundu Lissu
Paulo Makonda

kwakuwa hawa ndo wanatajwa tajwa sana na watuwatu wanaokubaliana nao,

Lakin mliwai kufikiria Tanzania kuongozwa
A.KIJESHI ?
Maana sioni kama kuna mtu anawaza suala ili kwa kina, kwasababu si kila nchi inayotawaliwa kujeshi walipenda hapana, ni kwamba waliopewa dhamana by a uongozi awali walivuruga mpaka kuingilia demokrasia, uchumi wakauyumbisha, vikwazo juu ya vikwazo ili likapelekea jeshi makini kufanya mapinduzi , je mmeweka akilini kwamba ili laweza tokea?

B.KUONGOZWA NA MWANAMKE?
Tanzania yenye chama chenye nguvu kimoja yaan CCM ,kinachezea demokrasia kitakavyo kulingana na mifumo ya kiutawala inayokibeba, na akipita mtu automatically ndo anakuwa rais,
Tumeona CCM ikianza mchezo wa chenga za gaucho kwenye kuteua wagombea mbali mbali,
Tuanze na spika wa bunge 2010,
Upitishwaji wa Magufuli 2015

Sasa usishangae kwa hali na mali wanaleta Mgombea Mwanamke, mbaya zaid ukakuta ni Tulia Akson, so lazima huyo ila imebidi niwaze hivyo

Britanicca
Sometimes huwa naiita bongo taifa la wajinga ndio kama wewe hapa kweli kabisa huyo wa mwisho kabisa kabisa na akili zako timamu mpaka unapost huu upupu
 
Ni vigumu kuamini sentensi kama hii maana uzi kama huu lazima uwe mchungu kwa
January Makamba
Mwigullu Nchemba
Bernard Membe
Hamiss Kigwangalla
Tundu Lissu
Paulo Makonda

kwakuwa hawa ndo wanatajwa tajwa sana na watuwatu wanaokubaliana nao,

Lakin mliwai kufikiria Tanzania kuongozwa
A.KIJESHI ?
Maana sioni kama kuna mtu anawaza suala ili kwa kina, kwasababu si kila nchi inayotawaliwa kujeshi walipenda hapana, ni kwamba waliopewa dhamana by a uongozi awali walivuruga mpaka kuingilia demokrasia, uchumi wakauyumbisha, vikwazo juu ya vikwazo ili likapelekea jeshi makini kufanya mapinduzi , je mmeweka akilini kwamba ili laweza tokea?

B.KUONGOZWA NA MWANAMKE?
Tanzania yenye chama chenye nguvu kimoja yaan CCM ,kinachezea demokrasia kitakavyo kulingana na mifumo ya kiutawala inayokibeba, na akipita mtu automatically ndo anakuwa rais,
Tumeona CCM ikianza mchezo wa chenga za gaucho kwenye kuteua wagombea mbali mbali,
Tuanze na spika wa bunge 2010,
Upitishwaji wa Magufuli 2015

Sasa usishangae kwa hali na mali wanaleta Mgombea Mwanamke, mbaya zaid ukakuta ni Tulia Akson, so lazima huyo ila imebidi niwaze hivyo

Britanicca
Kweli hadi huyu jamaa nae anatajwa!? Dah!
 
Zipo jamii si wazuri sana Kwa kazi za kutumia akili ( reasoning) wanafaa sana kwenye za matumizi ya nguvu hata mkoloni alishafanya tafiti akawapa kazi za mashambani Na ukuli bandarini.Hizi za akili wanafail,tupate MTU auzikae kimataifa, mwenye exposure, jasusi wa kiuchumi, team leader mzuri,atakaeunganisha Makundi yote,mzalendo,mwenye uzoefu Na Madaraka sio ajifunzae ili asilewe na vitu vipitavo ( Madaraka).
Hapo umeandika kama unaota ndoto
 
Back
Top Bottom