Hivi Kumbe yawezekana wote wanaotajwa asiwepo hata mmoja kuwa Rais wa Tanzania 2025/2035

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Ni vigumu kuamini sentensi kama hii maana uzi kama huu lazima uwe mchungu kwa
January Makamba
Mwigullu Nchemba
Bernard Membe
Hamiss Kigwangalla
Tundu Lissu
Paulo Makonda

Kwakuwa hawa ndio wanatajwa tajwa sana na watuwatu wanaokubaliana nao,

Lakin mliwai kufikiria Tanzania kuongozwa
A. KIJESHI ?
Maana sioni kama kuna mtu anawaza suala hili kwa kina, kwasababu si kila nchi inayotawaliwa kijeshi walipenda hapana, ni kwamba waliopewa dhamana by a uongozi awali walivuruga mpaka kuingilia demokrasia, uchumi wakauyumbisha, vikwazo juu ya vikwazo ili likapelekea jeshi makini kufanya mapinduzi, je mmeweka akilini kwamba ili laweza tokea?

B.KUONGOZWA NA MWANAMKE?
Tanzania yenye chama chenye nguvu kimoja yaani CCM, kinachezea demokrasia kitakavyo kulingana na mifumo ya kiutawala inayokibeba na akipita mtu automatically ndio anakuwa Rais,
Tumeona CCM ikianza mchezo wa chenga za gaucho kwenye kuteua wagombea mbali mbali,
Tuanze na spika wa bunge 2010,
Upitishwaji wa Magufuli 2015

Sasa usishangae kwa hali na mali wanaleta Mgombea Mwanamke, mbaya zaidi ukakuta ni Tulia Akson, so lazima huyo ila imebidi niwaze hivyo

Britanicca
 
Watanzania watakua viazi sana, sensa ya mwaka 2012 ilionesha kuwa 44% ya watu wote walikua chini ya miaka 15, kufikia 2025 demographic ya nchi itakua imebadilika sana, na upinzani ukiwekeza vyema kwenye vijana na kupanga mipango ya muda mrefu (na sio upuuzi wa kukodi wagombea CCM na kutumia nguvu nyingi kusaka urais badala ya kuongeza wabunge) watakao kua hai wanaweza kuing'oa CCM for good.
 
Yaani na huyu Bagalile, mwizi wa baruti, naye anaufikiria urais?
 
Zipo jamii si wazuri sana Kwa kazi za kutumia akili (reasoning) wanafaa sana kwenye za matumizi ya nguvu hata mkoloni alishafanya tafiti akawapa kazi za mashambani Na ukuli bandarini. Hizi za akili wanafail, tupate MTU auzikae kimataifa, mwenye exposure, jasusi wa kiuchumi, team leader mzuri, atakaeunganisha Makundi yote, mzalendo, mwenye uzoefu Na Madaraka sio ajifunzae ili asilewe na vitu vipitavo ( Madaraka).
 
Nyie kwa maudini mmejaaliwa kwakweli, hizo story zilikuwepo early 20s sasa hivi hazina msingi maandazi wewe.

BTW Tulia ackson akiwa Rais naenda Russia kununua missile mnikome
Hahaha siyo Lazima tulia anaweza akawa mwanamke mwingine
 
Nyie kwa maudini mmejaaliwa kwakweli, hizo story zilikuwepo early 20s sasa hivi hazina msingi maandazi wewe.

BTW Tulia ackson akiwa Rais naenda Russia kununua missile mnikome
Niliwaeleza
 
Back
Top Bottom