Hivi kumbe unaweza toka na gari na hauna hata shillingi mia mfukoni

Sijawahi zaidi ya 5k mkuu, pale mapipa nilivuka zebra mtu anacross traffic kanipiga mkono, nikaimbisha dk2 akaniambia nenda. Yangu haitoki ovyo, nabisha mpaka jamaa anajiuliza huyu anatokea wapi..10k nawasikia nyie!!
Mmmmmmhmn labda we mwenzetu una ngekewa, ila kwa sisi wengine traffic ukimzingua na kubishana nae anazunguka nyuma ya gari anatia plate number anakutolea risiti utaja ikuta huko mbeleni
 
Mmmmmmhmn labda we mwenzetu una ngekewa, ila kwa sisi wengine traffic ukimzingua na kubishana nae anazunguka nyuma ya gari anatia plate number anakutolea risiti utaja ikuta huko mbeleni
Approach yako tu, unakosa halafu unakuwa mkali, lazima ule vitasa. Kubali umekosea then tafuta namna ya kumwambia it's ok lakini hakuna sababu ya kuniadhibu kwa kosa hili.

Nilikamatwa Mbezi kuingia njia ya Goba, pale hawaruhusu right turn, ile namaliza nakaribia round about jamaa huyu, nilimwambia tu mbona nji mpya hii na alama hata hamna, nikamwambia ni vizuri kunielimisha kuliko kuniadhibu...sikutoa hata mia.
 
Nakwambia acha tu.... Kuna kipindi niliuza gari nikaanza kuhesabu hekari kama mwaka hivi, aisee nikajua unafiki wa wanadamu the way walibadilika namna ya kunitreat. But nilipochukua nyingine ndio nikaanza kuadopt na hali halisi ya maisha
Haaahaaa kwamba wakajua umefulia?

Binadamu ukimu entertain imekula kwako
 
Aisee mkuu umepitia changamoto kama zangu. Mimi mwenyewe mwaka juzi nilinunua gari japo ilikuwa used iliyotumika bongo. Basi aisee nilipata marafiki wengi ghafla hata walipotokea hapajulikani.

Ilikuwa kuanzia saa moja tu asubuh simu zinamiminika kabla sijaamka watu wanajazana gheto ili nikitoka nipige nao misele. Sasa ile gari nikaiuza basi huwezi amini wale watu waliyeyuka ghafla hadi leo hawana habari na mimi.

Nina mpango mwakani ninunue nyingine na nitakuwa sitaki mazoea na mtu.
Ahaaaahaaaaaa jamani mbavu zangu

Ndo ujue watu wanavyopenda slope aka kitonga
 
Ha ha ha ha ha ha ha honest truth. Gari bila kipato ni sawa na mwanaume asiye na pesa kuishi na mwanamke mzuri anaetakwa na kila mwanaume.

Gari haitaki maigizo. Gharama inakuja katika sura nyingi...
Leo nimeamini kuna
Mimi natoka sina Hata kumi, màisha yanaendelea
Kuna watu bado wana zana za kale kuwa anayemiliki gari basi pesa nyingi kitu ambacho sio kweli alafu pia nimegundua hapa JF bado kuna watu ni waoga wa maisha wanaowaza kulipwa mshahara Mkubwa ndipo wanunue Magari.

Nina rafiki zangu wengi wanapiga deal za kununua Magari na kuuza yaani wao kazi Yao ndiyo hiyo miaka kibao na kila baada ya miezi 2 unamkuta na gari tofauti lkn ni namba A,B NA C na mara nyingi anaishiwa kabisa hata pesa ya Kula inakuwa shida na huku ana gari na maisha yanaendelea kama kawaida Tu.

Na akipiga hela anapiga kwelikweli na hayo ndiyo maisha ya mtaani yaani hakuna salary na mambo yanasonga
 
Leo nimeamini kuna

Kuna watu bado wana zana za kale kuwa anayemiliki gari basi pesa nyingi kitu ambacho sio kweli alafu pia nimegundua hapa JF bado kuna watu ni waoga wa maisha wanaowaza kulipwa mshahara Mkubwa ndipo wanunue Magari.
Yeah kikubwa kuwa na strong and reliable network! Acha kukusanya kila takataka
 
Ni hatari sana.

Imenitokea wiki iliyopita natoka udsm, sasa kama unaenda kimara lazima uje upite mawasiliano hapa, sasa kuna hilux iko mbele yangu ikakatisha kwenye barrier zile za barabara ya fly over na ile ya kawaida, na mimi nkataka kuiga, tairi za mbezi zimepita gari ikakaa, tia 4wd, chuma ikagoma, mfukoni empty set..
Siku nyingine ukitoka UD kwenda Kimara kuna njia ya lami inakuja kutokea pake Bahama Mama, PUMA Petrol Station sio lazima urudi mawasiliano. Nyie ndio mnasababisha foleni wakati kuna njia nzuri mbadala. Nadhani we ni mgeni mjini
 
Back
Top Bottom