Hivi kumbe unaweza kuwa na ndoto ya kufanya kazi sehemu tangu ukiwa mdogo na usifikie hata robo? Basi usikate tamaa!

Isack Newton alifanya majaribio ya kutengeneza bulb lights zaidi ya mara 999 na akafanikiwa mara ya 1000.

Komaa ndugu kukata tamaa ilihali uko hai ni dhambi ya malusudi.
Newton na majaribio ya bulb wapi na wapi mzee..

Hayo mambo ya kina thomas edson huo.
 
Absolutely mkuu, ila ndo hivo imesha tokea sina namna tena, kama Mungu atajalia labda, ila kweli mkuu BAHATI HAIJI MARA MBILI
Inakuja hata mara 10 ila katika namna ambayo huidhanii "They don't always happen when you ask! And it's easy to give in to your fears... But you will when you believe!
 
Back
Top Bottom