Hivi kumbe Mpinzani akitukanwa Sawa, CCM akitukanwa Uchochezi, Sheria Gani?

Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,098
1,501
msukuma kila kukicha Matusi, CCM wanawatukana Wapinzani Kama watakavyo sijawahi kuisikia wakiambiwa wachochezi, Kwahiyo hii sheria iko kwa Wapinzani tu?
 
Si unajua sheria za Tanzania siyo msumeno zinachagua, si unaona akina Rugemalila na mhindi wako ndani lakini waliopitisha na kusaini wako nje wanapeta? sheria za Tanzania ni selective, uklwa mpinzani inakushika ukiwa CCM uko above the law! Si unaona Mnyeti alikamatwa na video akitoa rushwa kesho yake akapandishwa cheo kuwa RC? alafu watu wanakuja wamebana pua " anapinga ufisadi" Pathetic!
 
Ukiona nchi ina sheria zenye macho, zibajua huyu ni X na huyu ni Y jua hapo THERE IS NO RULE OF LAWA!
 
Hii nchi unatakiwa uishi kwa akili nyingi na machale kama vile unavoishi na mwanamke
 
Sheria hii Mkuu inaitwa Udikteta Uchwara 2015-2020

msukuma kila kukicha Matusi, CCM wanawatukana Wapinzani Kama watakavyo sijawahi kuisikia wakiambiwa wachochezi, Kwahiyo hii sheria iko kwa Wapinzani tu?
 
Halafu mtu anatuzuga bila woga wala aibu, “Napambana na ufisadi na rushwa mie” :mad:

Si unajua sheria za Tanzania siyo msumeno zinachagua, si unaona akina Rugemalila na mhindi wako ndani lakini waliopitisha na kusaini wako nje wanapeta? sheria za Tanzania ni selective, uklwa mpinzani inakushika ukiwa CCM uko above the law! Si unaona Mnyeti alikamatwa na video akitoa rushwa kesho yake akapandishwa cheo kuwa RC? alafu watu wanakuja wamebana pua " anapinga ufisadi" Pathetic!
 
Ila aombe tu amrithishe jamaa anayemuamini Sana atakapong'atuka madarakani either kwa hiari au kwa nguvu. Kwasababu watu wamempania hata humo humo ssm
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mrithi ni Bashite Mkoromije Mkuu ndiyo sababu anatengenezewa mazingira mazuri kila kukicha na sifa tele zisizo na kichwa wala miguu.

Back
Top Bottom