Hivi kumbe kuna wanaume hutumia mapenzi ya dawa?

haahaha, hamna, nimemaanisha kudu zile kamba za kufungia mabox, hyo imesimama kama kamba, na kamba ndio inatumika kumfungia mtu, hyo imesimama kama kamba za vidonga.
Haha' mie naye akili yangu in search network muda mrefu sana aaarrrgh'.!!
 
kama mwanaume hela huna na una dem mzuri nae anapenda maisha mazuri, unafkiri unafanyaje hapo kama sio kumuweka chini ya ulinzi mkali kwa kutumia ndumba.
😀😀 Uchawi chapaa tu Mkuu,
 
Back
Top Bottom