Hivi kumbe kuna Laptop zinakaa lain ya Simu/SIM card?

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,790
3,020
katika pita pita zangu leo kuna sehemu nlikua nacheza PES game akaja jamaa nkaona kaingiza line kwenye laptop yake nikabaki na mshangao.
ni kweli usilolijua ni kama usiku wa giza.
 
Mbona zipo siku nyingi tu mi nina acer mini inaingia chip ya simu
nilikua sijui mkuu, vipi unaitumia hiyo chip ikiwa ndani ya pc? je speed inakuaje na internet na huduma nyingine kama kupiga simu n.k? so hata hizi brand mpya zinazotoka kama intel 7 zina sehemu ya kuweka chip?
 
ok pia modem inapokosekana. mkuu hivi unaweza kupata huduma nyingine kama kupiga simu n.k?
Sim card ktk laptop ni kwa ajili ya data tu, na sio kwa kupiga simu unless otherwise iwepo software kwa kufanya hivyo. ..
 
Zipo hata za zamani tu. Hata Dell latitude 630 inayo sehemu ya kueka laini pale nyuma ukichomoa betri. Ila sijawahi hata kujaribu kuweka.
 
Kupiga simu ilikua haifai ila unaweza kutuma sms na ina 3g.Ni ya zamani kidogo
Mkuu, baada ya kusoma kwenye hii post ndo na mimi kushtuka kumbe kuna hii kitu kwa Bahati nzuri nmetoa betri kwenye pc yangu (dell 2120) sehem ya kuweka line ipo na nikaweka lakini nashangaa haisomi chochote hebu nisaidie jinsi ya ku connect hii kitu!!
 
Hata mm PC yangu hp elitebook 6930 inatumia niliiona tangu zaman nainunua lakin mpaka leo nimeshidwa kujua inafanyaje kazi. Watalaam wa haya mambo mnisaidie
 
nilikua sijui mkuu, vipi unaitumia hiyo chip ikiwa ndani ya pc? je speed inakuaje na internet na huduma nyingine kama kupiga simu n.k? so hata hizi brand mpya zinazotoka kama intel 7 zina sehemu ya kuweka chip?
andaa bando la kutosha tu jf hutoa elimu bure
 
Hata mm PC yangu hp elitebook 6930 inatumia niliiona tangu zaman nainunua lakin mpaka leo nimeshidwa kujua inafanyaje kazi. Watalaam wa haya mambo mnisaidie
chomoa battery unatoansehemu imeandikwa sim we chomeka hapo inavyotakiwa
 
Back
Top Bottom