Hivi kule Beijing wanawake waliafikiana hivi ndipo mimi nianze kuwaheshimu au ni matatizo yao tu ya asili na uumbaji?

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
Kwahiyo kule Beijing Wanawake waliafikiana yafuatayo....?

1. Wawasiliti kila mara Wachumba na Waume zao?
2. Wawanyime Mapenzi ya Kitandani Wapenzi na Waume zao?
3. Wazunguke Tanzania nzima kwa Waganga wa Kienyeji Kuwaroga Wapenzi na Waume zao?
4. Wawe tayari Kuzungukana Wao kwa Wao na Kuibiana Wapenzi na Waume zao?
5. Wakikutana na Mpenzi au Mume Tajiri basi Kipaumbele chao kiwe ni Kuwaua?
6. Wasiogope Kuwabambikizia Mimba zisizo zao Wapenzi na Waume zao?
7. Wakikutana na Mpenzi au Mume mwenye Uume wa Kimbilikimo ( Mfupi ) au asiyejua Kushughulika vyema Kitandani wawe Wanawatangazia kwa Mashoga zao hadi Mitandaoni na katika Vyombo vya Habari?

Siwezi kuwa Mnafiki kwa Kuwapongeza kwa Siku hii ya leo hadi wakibadilka kwa 100% na nawashangaa kabisa Wanaume Marijali kabisa wanapoteza muda Wao Kuwapongeza na hadi Kuwasifia Wanawake wakati kwa Udhaifu wao na Mienendo yao ya Siku hizi wala hawastahili Kupongezwa.

Siku ( Tarehe ) hii ikiondolewa katika Kalenda Kimatukio nitakuwa ni mwenye Furaha kwani ni ya Kinafiki tupu!
 
Waliohudhuria mkutano wa Beijing sidhani kama ni hawa ambao walikuwa watoto au walikuwa hawajazaliwa wakati huo.
 
Back
Top Bottom