Hivi kuimba Wimbo wa Taifa ni kosa lisilokuwa na dhamana?

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,567
9,026
Hivi nchi hii, awamu hii ya uchumi wa kati, yaani ukiimba wimbo wa Taifa wakati unapandisha bendera ya chama cha siasa ni kosa lisilokuwa na dhamana? Wanasheria hebu tusaidieni.

Ndugu zetu pichani chini wako ndani miezi zaidi ya mitatu bila dhamana huko Singida kisa waliimba Wimbo wa Taifa wakati wanapandishwa bendera ya chama chao. Huu ndio ucha Mungu tunaouhubiri kila siku?



IMG_20200817_210844.jpg
 
Kinachofanyika si sheria bali ni kukomoa tu! Lakini pia vijana tuwe makini sana kwenye siasa ili kujiepusha na makosa yasiyokuwa ya lazima ambayo yana gharama!
 
Back
Top Bottom