Hivi kuhamisha au kutumbua kiongozi wa umma kuna faida gani?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Ndugu!
Nani anaweza kuniambia mfano; Tathimini ya gharama inayolipwa kwa kumhamisha mkuu wa mkoa kutoka Dar kwenda Tabora? Au kutoka Dar kwenda Katavi? Au pengine tuchukulie mfano kutoka Kagera kwenda Dar au Singida? ...

Nini faida ya kumtoa mkuu sehemu moja kwenda nyingine kiuchumi?
Lakini pia naomba mwenye kujua faida ya kiuchumi kwa kumtumbua mtumishi wa umma kwa ahadi ya kumpangia kazi nyingine faida zake ni zipi?
Mwenye majibu tafadhali!
 
Taarifa mbaya zilizopo ni kwamba bado wanaendelea kulipwa mishahara yao kama kawaida. Nani anabeba mzigo huu? Ndio utaelewa ule wingi wa kodi Na matumizi makubwa ya kwenye mishahara. Yaani wameruka mkojo wakakanyaga nanihiii
 
Kwanini wasifukuze moja Kwa moja?
 
Ndugu!
Nani anaweza kuniambia mfano; Tathimini ya gharama inayolipwa Kwa kumhamisha mkuu Wa mkoa kutoka Dar kwenda Tabora? Au kutoka Dar kwenda Katavi? Au pengine tuchukulie mfano Kutoka Kagera kwenda Dar au Singida? ...nini faida ya kumtoa mkuu sehemu moja kwenda nyingine kiuchumi?
Lakini pia naomba mwenye kujua faida ya kiuchumi Kwa kumtumbua Mtumishi Wa umma Kwa ahadi kumpangia kazi nyingine faida zake ni zipi?
Mwenye majibu Tafadhali!
naomba nijaribu kwa vile ninavyojua:
kumwamisha mtu kuna faida na hasara faida inawezekana ana ubunifu ambao unahitajika sehem u Fulani na yeye yuko sehemu Fulani au amefanya kazi vizuri sehemu Fulani unampeleka sehemu Fulani akapaboreshe palipo zorota,hasara ni kuwa kutegemea cheo na aina ya ajira kumwamisha mtumishi ni ghalama,pia km anatabia ambao si rafiki kwenye utendaji anapokwenda anakwenda kupaharibu unless anapokwenda umeshaweka mechanism ya kumdhibiti au una supporting .
mechanism
faida ya uhamisho inaweza kuwa kuna wengine wananyanyaswa au anachangia indirect mfumo wa sehemu Fulani usifanye kazi ipasavyo hivyo baada ya kuamisha watu kumi unamwamisha mmoja ambaye ndio chanzo.
mfanyakazi kwenye utumishi anaweza kuwa amesomea mambo Zaidi ya moja(nawafahamu baadhi ya rafiki zangu ambao wana degree Zaidi ya nne tofauti tofauti za undergraduate na ni watumishi wa umma) hivyo kumpangia kazi nyingine ni maamuzi ya mwajili baada kuona kazi hizo atamudu is like ww una kampuni unaamua kuanzia leo ww baada ya kusimamia hiki utasimamie kile na www baada ya kusimamia kile utasimnamia hiki.
 
Asante Kwa maelezo mazuri
 
Ndugu!
Nani anaweza kuniambia mfano; Tathimini ya gharama inayolipwa Kwa kumhamisha mkuu Wa mkoa kutoka Dar kwenda Tabora? Au kutoka Dar kwenda Katavi? Au pengine tuchukulie mfano Kutoka Kagera kwenda Dar au Singida? ...nini faida ya kumtoa mkuu sehemu moja kwenda nyingine kiuchumi?
Lakini pia naomba mwenye kujua faida ya kiuchumi Kwa kumtumbua Mtumishi Wa umma Kwa ahadi kumpangia kazi nyingine faida zake ni zipi?
Mwenye majibu Tafadhali!
Cku ukipata JIPU kene mfereji wa TAKO jaribu kuliacha hvohvo usilitumbue afu utaona litakachokufanya.
 
Back
Top Bottom