Hivi kuendelea kuvaa wigs kwa majaji na maspika wa mabunge ya Kenya siyo ukoloni wa kujitakia?

Haya Waafrika wenzangu turudi kwenye roots

2774373_IMG_20210514_194853.jpg
 
Hehehe!!! Huwa ufala uliopitiliza mtu anasema yeye hajakoloniwa kwamba yupo huru ila anajiita Mtanzania, tuanzie tu hapo hilo kujiita Mtanzania tayari ni ukoloni maana mipaka imechorwa na mkoloni, hakukua na Utanzania wala Tanzania kabla ujio wa mkoloni, yeye alikuja akachora na kusema uitwe na kujiona Mtanzania...ujinga sana halafu unakuta mtu amevimbiwa ubwabwa anasema yeye yuko huru kila idara.

Kuna Tofauti kati ya Tanzania na Tanganyika.. Elewa hivyo Tanzania ni yawatanzania na Tanganyika ni yawakoloni
 
Kuna Tofauti kati ya Tanzania na Tanganyika.. Elewa hivyo Tanzania ni yawatanzania na Tanganyika ni yawakoloni

Tanzania haikuwepo kabla ujio wa mzungu, hiyo mipaka ya hicho mnaita Tanzania haikuwepo, kawakuta Wamaasai na kuchora mpaka kati yao, makabila yote ya mipakani watakusaidia kuelewa namna kila mmoja wetu ni mtumwa wa ukoloni. Yaani unakuta mtu ni mweusi kama wewe, wa kabila moja kama wewe, mnachangia hadi ukoo lakini kisa yuko upande wa pili wa mpaka wa mkoloni hivyo basi inabidi muonane kama alivyoacha mkoloni.....
Sawa hata kama mzungu alibuni Tanganyika, ila mliendeleza ujuha kwa kuikoloni Zanzibar na kujiita Tanzania, mwisho wa siku mnatumia mipaka ya mkoloni mpaka leo.
 
Back
Top Bottom