Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 13,100
- 26,854
Hukuliwa kimasihara kweli? Malizia storyKuna komando mmoja nilikuwa naishi nae jirani, siku zote sikuwahi kufahamu kama ni komando, alinizoea ghafla hadi tukabadilishana no za simu... Kaanza kunitumia picha zake wakiwa na wenzie huko mafunzoni wakiwa wanakula vyakula vya ajabu...Baada ya kumuuliza uliza vimaswali vingi vingi akadai yeye ni komando... Nikamtia na block kabisa (Sijui niliwaza nini).