Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kuna wengi waliowahi kufukuzwa ktk kwenye Chuo Kikuu cha Umma (Dar) kwa kujihusisha na Siasa na kuikejeli Serikali ambayo ndiyo mwajiri wao na anayewalipa mishahara kama Lamwai, Baregu na wengineo sasa huyu kilaza na mtema mate hovyo kwa nini na yeye asifukuzwe?
Kwa nini aendelee kulipwa na Serikali ambayo kutwa nzima anaitukana? Kwanza nijuavyo mimi kazi ya Mlm wa Chuo Kikuu ni kufundisha, kufanya tafiti na kuchapisha kazi za utafiti wake kama kweli Mlm. wa Chuo Kikuu anayafanya haya hawezi kuwa na muda wa siasa hata siku moja!
Hivyo fukuza huyu kilaza mara moja, wapo WatanZania wengi wenye uzalendo wa kweli ambao wanaweza kufanya kazi, nasema fukuzeni ili apate muda zaidi ya kufanya kampeni za kisiasa!