Hivi kitanda kimoja wanawezaje watu kumi kulala?

Inaonyesha hujawahi kwenda hospitali zetu za serikali.
Kinachotokea ni kwamba, kutokana na uhaba wa vitanda ukilinganisha na wingi wa wagonjwa( hii inakuwa sana kwa akinamama wajawazito) wagonjwa kwa idadi hiyo wanapeana zamu za kulala kitanda kimoja wawili wawili kwa masaa kadhaa kulingana na wingi wao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom