Je, ndoa ndio kipimo cha kweli na pekee cha upendo kati ya mwanamke na mwanaume?

sikujua stering umenifanya niwe mie, anyway nimeutambua mchango wako.

Kongosho we kama huamini kigawe tu kitumbua.

Hata mimi naye amini ukinipa kitumbua chako sikiwachi.
 
phina, so niki-conclude kuwa si wote walooana wanapendana, ila wote walopendana wameoana ntakuwa sawa?

in a perfect world wote wanaopendana wanatakiwa kuoana..na wanao oana wanatakiwa kuwa wanapendana!but who lives in a perfect world anyway??shit happens!
 
najaribu ku-relate uhusiano kati ya kugawa 'k', kupenda na ndoa bado sipati jibu....1) ukigawa 'k' umependa? not necessarily, unaweza kuitumia kama a means to an end tu kama machangu 2) conversely, usipompa mpenzi 'k' yako hakuna mapenzi? i don't think so, ingawa wanaume wengi hutumia hii dhana kujenga hoja ya kulazimisha kupewa 'k' 3) hivi ikitokea kwa sababu yoyote kwa mfano ajali au ugonjwa, mmoja wa wanandoa akashindwa kutoa huduma, ndoa itavunjika?
 
na wanao 'barki ndoa' baada ya miaka 20 ya kukaa pamoja?
hawakupendana?
 
Hao walikuwa hawana hakika kama wanaweza spend the rest of their lives together.

Hii mada imenikumbusha movie ya immaterial alocheza Path kama playboy

Kuna sehemu alikuwa anamwambia Rita.. Now I see the reason why people marry... I want to make you mine baby...

Mwanaume yeyote hata kama ni player vipi akikolezwa lazima ajisikie kumiliki bana hasije nyang'anywa. Hivyo naamini japo kuna exceptions ni ngumu mtu kutangaza nia wakati hajafa hajaoza.

Wapo wanaume wanaoa ili tu 'aweze ku sex na mwanamke'
baada ya miezi michache tu 'talaka na vipigo juu'

nipe link ya hiyo movie aisee
 
Immaterial on iROKOtv – iROKOTV | Number One Home For Nollywood & Ghanaian HD Quality Movies

part two

Immaterial 2 on iROKOtv – iROKOTV | Number One Home For Nollywood & Ghanaian HD Quality Movies

watakwambia ufanye registration. Mimi nimeregister na e mail fake na si facebook account. Most of the movies are free. Za kuanzia 2012 ndio zinalipiwa $5 per month na unaangalia bila limit. Hii ni free. Inachekesha iangalie.

Wapo wanaume wanaoa ili tu 'aweze ku sex na mwanamke'
baada ya miezi michache tu 'talaka na vipigo juu'

nipe link ya hiyo movie aisee
 
Huu uzi nimeuona leo katika pitapita yangu na ume-resonate with me in many ways.

Mimi binafsi siamini kwamba ndoa ndio kipimo cha kweli na pekee cha upendo ila inahusishwa tu na upendo. Si kila ndoa hujengwa katika misingi ya upendo; nyingine hujengwa katika misingi ya utegemezi, kuficha aibu, kujenga tu mahusiano/kuunga nasaba, ushindani tu n.k
 
Back
Top Bottom