Hivi kipi kigumu, kuendesha gari au Bunge Tanzania?

Hapo hata mimi jielewi vizuri..., ngoja nimulize Chenge
 
Kama gari ameshindwa bunge lenye watu kibao hataweza kabisa. isitoshe bado anakesi nyingi zinamwandama hivyo muda mwingi atakuwa hayupo mjengoni
 
Ahahaa yote magumu, isipokuwa gari ni rahisi kulinganisha na ubunge, uspika ndiyo kichina zaidi. Rahisi zaidi ni kufuja na kuiba mali za walala hoi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:A S cry:
 
Back
Top Bottom