Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,668
- 149,839
Ni bora kujenga hostel za wanafunzi kwa mabilioni ya shilingi au mabilioni hayo ukawakopesha wanafunzi wengi zaidi wanaohitaji mikopo?
Kiongozi mzuri ni yule anaetakiwa aonyeshe interest kwenye mambo yanayogusa moja kwa moja maisha ya watu wake au awe na interest kwa vitu vinaonekana kirahisi macho pa watu hata kama si muhimu sana kwa wakati huo?
Baada ya comment kadhaa nimegundua wabongo wengi ni rahisi sana kutekwa na wanasiasa.
Nitafafanua:
JPM anatumia mbinu moja kuwateka kimawazo nayo ni kuweka kipaumbele kikubwa katika vitu vinavyoonekana zaidi machoni pa wapiga kura kiasi kwamba hela nyingi anazielekeza huko matokeo yake mambo mengine hayaendi vizuri.
Mfano kila siku utamsikia anaongelea ndege, kujenga majengo,fly over,n.k lakini maswala ya kuboresha maslahi ya watumishi anakwambia uhakiki bado unaendelea,wanafunzi wengi wamekosa mikopo,waliokuwa wanasoma nje ya nchi tunasikia walisitishiwa ufadhili, wanaokabiliwa na upungu wa chakula wanalia huki wakiambiwa serikali haina shamba, n.k.
Hayo majengo ni kweli tunayahitaji lakini ni muhimu ku-balance mambo ili usiumize watu kwa kuelekeza fedha nyingi katika sector moja huku sector nyingine zikidorora.
Mfano ningempongeza sana kama angefanya maamuzi ya kutenga mabilioni kama hayo na kuyatumia kuajiri madaktari,walimu,kuwapa mikopo wanafunzi na huku akitenga fedha kiasi fulani katika bajeti kugharamia ujenzi wa hostel na vitu vya aina hiyo.
Msifikiri Kikwete alishindwa kununua ndege kwa mpigo,alishindwa kujenga hostel,n.k lakini alijitahidi ku-balance mambo na ndio maana leo hii watu wameanza kumkubuka Kikwete pamoja na ufisadi uliokuwa umekithiri katika awamu yake.
Kwa sasa mkiona hayo majengo,hizo ndege,n.k hamuwezi kunielewa ila mtakuja kunielewa pale muda wake unaisha huki kwaachi ma-structure kibao,ndege,n.k huku idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa vyuo vikuu ikishuka,watuhumishi wako taabani,kila mtu kapauka kiasi kwamba hata wa kutumia hiyo miundombinu kufanya biashara, kusafirishia mazo,n.k hakuna maana uchumi wa mtu mmoja mmoja utakuwa mashakani unless anabadilika.