Elections 2010 Hivi Kingunge Ngombare Mwiru naye ni mbunge?

Bob_Dash

Member
Nov 1, 2010
90
13
Nilijaribu kufuatilia kwa ukaribu sana kampeni za uchaguzi lakini sikuwahi kuona wala kusikia jina la Kingunge kutajwa kati ya majina ya wagombeaji, sasa huyu mzee Dodoma kafuata nini? Nimeona baadhi ya picha za wabunge huko Dodoma na huyu mzee yumo pia, hivi bado ni mbunge? na kama ni mbunge ana wakilisha jimbo gani?
 
Ukimuuliza Mtanzania Yeyote na Wananchi Duniani Hutapata Jibu Kwanini Kingune Bado ni Mshauri wa Kikwete. Kweli Watanzani Millioni 43, Hakuna Mtu Hata Mmoja Mwenye Akili na Kipaji Cha Uongozi Zaidi ya Kingunge? Hii ni Aibu Tupu kwa Inchi. It's True this guy is very Effective Katika Kutoa Mawazo ya Uchumi na Maendeleo ya Inchi? Policies Alizosoma Miaka Hiyo Ndizo Alizotuletea na Kuimaliza Inchi ila CCM Wanamtegemea Kutoa Vipya na New Ideas on Global Economy. Congraturation CCM na Halmashauri Kuu Yenu. Hawa Jamaa Ndio Wanataka Tuendelee Kukimbiza Mwenge Kujenga Miji Inchini lo.........
 
Back
Top Bottom