Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,898
Hivi kinachompa RC na DC mamlaka ya kumuweka mtu rumande ni nini? I mean hiyo mamlaka ya kisheria alipewa kwa sababu gani? What were the motives behind? Simply kwa sababu ameteuliwa na Rais au? Hivi kinachompa RC na DC mamlaka ya kumuweka mtu rumande ni nini? I mean hiyo mamlaka ya kisheria alipewa kwa sababu gani? What were the motives behind? Simply kwa sababu ameteuliwa na Rais au? Hivi DC na Mbunge nani mwenye uhalali kwa wananchi? Mbunge aliyechaguliwa na wananchi au DC aliyeteuliwa na mtu mmoja? Katika kujenga public trust DC anazidiwa hata na mbunge wa viti maalumu. DC anaweza kuteuliwa simply kwa sababu aliwahi kumbebea begi aliyemteua. Sasa mtu kama huyu anapewaje mamlaka ya kuweka watu korokoroni kwa kadri anavyojisikia? Hivi hatuwezi kubadili sheria hawa "appointees" wakaondolewa hiyo mamlaka? Maana wanaimisuse sana. Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama anapaswa kuwa mwenyekiti wa halmashauri/Mayor na sio DC/RC. By the way nafasi za DC/RC kwa sasa hazina tija tena. Zimebaki kuwa nafasi za kuongeza hasara kwenye nchi. Hakuna logic ya kuwa na DC wakati una Mayor/Mkiti wa Halmashauri, Mkurugenzi, Mbunge, DAS plus DC. Kwenye premise moja kuna viongozi watano. DC akitoa maagizo haya, Mbunge anakuja kuyapinga, na kwa sababu yeye ana watu nyuma yake anapata uhalali wa kumpinga DC ambaye hana mtu yeyote nyuma yake zaidi ya mkewe/mumewe. Kuendelea na vyeo vya DC/RC ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi. By the way majukumu ya msingi ya DC ni kufungisha ndoa na kutoa vyeti vya vizazi na vifo. Hivi vyeo viondolewe kwenye Katiba.! Mbunge aliyechaguliwa na wananchi au DC aliyeteuliwa na mtu mmoja? Katika kujenga public trust DC anazidiwa hata na mbunge wa viti maalumu. DC anaweza kuteuliwa simply kwa sababu aliwahi kumbebea begi aliyemteua. Sasa mtu kama huyu anapewaje mamlaka ya kuweka watu korokoroni kwa kadri anavyojisikia? Hivi hatuwezi kubadili sheria hawa "appointees" wakaondolewa hiyo mamlaka? Maana wanaimisuse sana. Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama anapaswa kuwa mwenyekiti wa halmashauri/Mayor na sio DC/RC. By the way nafasi za DC/RC kwa sasa hazina tija tena. Zimebaki kuwa nafasi za kuongeza hasara kwenye nchi. Hakuna logic ya kuwa na DC wakati una Mayor/Mkiti wa Halmashauri, Mkurugenzi, Mbunge, DAS plus DC. Kwenye premise moja kuna viongozi watano. DC akitoa maagizo haya, Mbunge anakuja kuyapinga, na kwa sababu yeye ana watu nyuma yake anapata uhalali wa kumpinga DC ambaye hana mtu yeyote nyuma yake zaidi ya mkewe/mumewe. Kuendelea na vyeo vya DC/RC ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi. By the way majukumu ya msingi ya DC ni kufungisha ndoa na kutoa vyeti vya vizazi na vifo. Hivi vyeo viondolewe kwenye Katiba.!
Malisa GJ
Malisa GJ