luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
H1= LESBIANISM
H2= MENTAL DISORDER
H2= MENTAL DISORDER
Huyo Fatma nae ni bingwa wa kublock kama hujuiSahihi kabisa..
Maria na Fatma sio wanaharakati. Maria ameanza kukosoa serikali baada ya kunyimwa tender za PR kwenye taasisi za serikali. Huko alikuwa alipiga pesa ndefu sana na alivyoingia Magu akakata huo mzizi ndio harakati zikaanza..
Kwangu Mimi ni bora ya Fatma kuliko Maria, Fatma hablock mtu, Maria ukimchallenge kidogo tu anakimbilia kukublock alafu anajiita mpigania uhuru wa kujieleza
Ila Maria sarungi anaujinga mwingi...nimemdharau sana kwenye ishu ya BET. Kumbe anaakili ndogo sana tofauti na nilivyokua namfikiriaMalezi, makuzi kutoka kwa wazazi wao na jamii yenye ustaarabu bila kusahau exposure imesaidia kuwajenga hawa, mimi na wewe tuwajenge vyema watoto wetu.
Huyo binti karume ni mwanasheria mkongwe hivyo usishangae upeo wake kuwa juuKwanza kabisa napenda kazi ya hawa watu. Tungekuwa na watu kumi kama hawa nchi ingekuwa inaenda kwenye mtaari mnyoofu kabisa na kufuata sheria.
Swali najiuliza nini kipo ndani yao kinawafanya wawe wanaharakati wajasiri namna ile?
Je, ni elimu waliyo pata. Kuna elimu mtu unapata inakufanya usiwe muoga wala usiogope kuhoji, elimu inayokufanya utambue haki zako na inayokufanya uzitetee.
Achana na hizi elimu za kuchapana fimbo, kukaripiana ambazo hata kuuliza swali darasani unaogopa.
Je, ni connections za wazazi wao ndiyo zinawafanya kuwa majasiri namna ile?
Au ni damu iliyo ndani yao, maana hawa wote ni machotara. Kuna wanavyotetea unaweza dhani kuna white savior complex.
Sasa ni vema kuwa na kizazi cha watu wanaojua haki zao na wanaoweza kuzitetea, nini kilichopoa kwa watu hawa ili tukiduplicate?
Ata mwanaharakati anakuwa na specific cause anayosimamia na hana upande wa siasa.
Maria na Fatma sio wanaharakati ni wanasiasa ata hawajui wanasimamia nini. Kikubwa zaidi ni spoilt rich brats with too much time on their hands and mental case. If you ask me wanachekewa sana.
Unaweza kumuweka na Kigogo2014 on that list, yule ndio ana psychology issue kabisa he is obsessed with self grandiose; he can hack so what? But everyone knows much of the info anatumiwa tu.
Wao wana attack mtu yeyote kwenye macho yao ambae atoi support kwenye cause yao ya kipuuzi.