Hivi Kima cha chini cha mshahara hapa Tanzania kimeongezwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Kima cha chini cha mshahara hapa Tanzania kimeongezwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmaroroi, Jul 23, 2009.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ninauliza swali hili kwa sababu karibia bajeti ya 2009/10 inafikia ukingoni bila kusikia kama kuna nyongeza yoyote ya mishahara mwaka huu.Ugumu wa maisha na kupanga kwa bei za bidhaa na huduma mbalimbali zimechangia maisha kuwa magumu.Mlio karibu na wahusika mtusaidie jibu.
   
 2. mbuvu

  mbuvu Member

  #2
  Jul 23, 2009
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nasikia wameongeza 4%
   
 3. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kiasi hicho ni kiduchu.TUCTA mpo kuwanusuru wafanyakazi au?
   
 4. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kwa nyengeza hizi kiduchu ya 4% kweli tutafikia kima cha chini cha 315,000/=?
   
Loading...