Hivi kile kigari kinachopiga kelele usiku wa manane ni cha nani?

Wee jamaa mseng.e sana unaandika habari km unaelezea masela wako maskani,jf iko kila ba member kila kona ya dunia,wacha kuassume boya andika uelewek km rijali.
Yani kuna kigari sijui ni alteza sijui ni subaru ikifika mda wa saa sita unusu hadi tisa hivi usiku wa manane huko barabarani kuna kigari hua kinapiga kelele sana zile za mufler/exousity
Hivi huyu mwenye hicho kigari au dereva mda huo anakuwa anachezea hicho kigari kwa kuwa mda huo barabara inakuwa free kwa maana kwamba matrafiki hawapo au kwa kuwa mda huo babrabar ina kuwa nyeupe ndo anachezea anavyotaka..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye umeamia dsm mkuu....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom