angalia vizuri mkuu...isije kuwa unasiikia kumkichwa yako tu@Tatizo kinasikika mlio tuu hakionekani
Umekiskia hicho hicho au ?Niwe mkweli Mwanza Ilemela na Nyegezi nimekiskia sana hata kipindi Fulani Bukoba nimekiskia sana. SERIOUS
Sanaaa, yaani kinapita usiku kulele za kufa mtu, ma antilag (not sure km nimepatia) kibao. Ha haaa ni starehe yake lkn tatizo amefululiza kutupigia keleleNacho kinasumbua?
Kwani mkuu unashindwa kulala?Naona ni kama hichi cha huku
Kinatoa sauti utadhani rally au motorcross sijui ni kigari au nini Ila muungurumo kama radi... Yaani hakielewekiUmekiskia hicho hicho au ?
Kwani hicho cha ubungo uliwahi kukisiikia pia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio nchi nzima ni dunia nzima maana kimekatiza sasahivi hapa mogadishu
Pamoja na kukifuata ila hajui kama ni alteeza au bombardier!
Naona kamekamatwa na police wa Kabul hapa
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Huku kwetu Koromije tunasikia milio ya ng'ombe usiku kucha,si mnajua ng'ombe nao wanapeana papuchi usiku mzito?
Sio nchi nzima ni dunia nzima maana kimekatiza sasahivi hapa mogadishu