Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,722
- 3,680
sawa mkuu nawe nunua.
Usiku wa Manae = Usiku wa MananiYani kuna kigari sijui ni alteza sijui ni subaru ikifika mda wa saa sita unusu hadi tisa hivi usiku wa manane huko barabarani kuna kigari hua kinapiga kelele sana zile za mufler/exousity
Hivi huyu mwenye hicho kigari au dereva mda huo anakuwa anachezea hicho kigari kwa kuwa mda huo barabara inakuwa free kwa maana kwamba matrafiki hawapo au kwa kuwa mda huo babrabar ina kuwa nyeupe ndo anachezea anavyotaka..
Mkuu huwa unakikimbiza kwa nyuma? Maana haiwezekani uwepo kuanzia ubungo hadi kibaha
Hahahahamkuu itakua ni mkewako ndo anakoroma usiku..!!
Ni Toronto ya Tabora mkuu...siyo Canada (according to Mwanry)Mkuu na wewe kisikilizie usiku, kinaeza kikawa kinapita mpaka mtaa wako. Kuna jamaa amesema amekisikia na yeye yupo Toronto..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huwa unakikimbiza kwa nyuma? Maana haiwezekani uwepo kuanzia ubungo hadi kibaha
Sawa wa mjini...sisi wa shamba tushazoea sauti za bundi na mapopo,.Kama unaishi porini ni ngumu kukisikia ila sisi tunaokesha maofisini usiku hata paka apite tunasikia
😂😂😂😂😂😂😂Mkuu huwa unakikimbiza kwa nyuma? Maana haiwezekani uwepo kuanzia ubungo hadi kibaha
hahahah.jmn mbavu zangu mmMkuu huwa unakuwa kwenye hiyo coverage ya ubungo to kibaha kwa muda mmoja? Au hhwa unaamka unachukua usafiri kufuata huo mlio mpaka kibaha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku ninakoishi sijakasikia!Yani kuna kigari sijui ni alteza sijui ni subaru ikifika mda wa saa sita unusu hadi tisa hivi usiku wa manane huko barabarani kuna kigari hua kinapiga kelele sana zile za mufler/exousity
Hivi huyu mwenye hicho kigari au dereva mda huo anakuwa anachezea hicho kigari kwa kuwa mda huo barabara inakuwa free kwa maana kwamba matrafiki hawapo au kwa kuwa mda huo babrabar ina kuwa nyeupe ndo anachezea anavyotaka..
Chalinze sehemu gani tutafutane?!!!