Hivi Kikwete atadhubutu kupeleka sura yake Marekani na Ulaya na hii kashfa ya unafiki wake na Iran?

Chezea ****** we!!!. ................ huyo ndo mwenyewe tena wa Bwagamoyo wacha mchezoooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Halafu Kiongozi mkubwa wa nchi anaenda kufungua hospital kubwa yenye vifaa vya kisasa vya kung'olea meno ,kucha na roho Kama makoleo huko kwenye msitu wa mabwepande bila kutuambia sisi wananchi wake ? hii ni hatari sana

Teh teh mkuu umenifurahisha sana tena ni hospitali za kumtibu mtu ukiwa umemshia mtutu
 
Hata mwanamke malaya akianza tu kuchukua hela kwa wanaume hovyo hovyo bila kuwa smart ndo mwanzo wa matatizo, huku anataka na huku anataka halafu uroda anatoa wa kumridhisha mmoja. Balaa kubwa la njaa linawanyemelea wabongo, uliza Zimbabwe njaa imeweka kambi toka wagombane na Marekani na EU

Anadhani atajikelesha kwao wamuelewe! na alivyo mvivu kufikiri atawapa Serengeti ili wamsamehe! Nyambaaf!
 
Mh.Dhaifu anapenda kwenda Marekani akanywe chai na Obama na kupiga picha pia kuna taarifa huyu jamaa anataka kuweka rekodi kuwa Raisi aliyetembelea nchi nyingi zaidi kuliko Marais wengine hapa Afrika
 
Back
Top Bottom