.......kabla ya kupanda jukwaani mjini ludewa wilayani mbalali, kikwete alikuwa akizungumza na simu na baada ya kumaliza aliwaambia wananchi kuwa alikuwa akizungumza na balozi wa marekani nchini tanzania na kwamba balozi huyo amemueleza kuwa rais barack obama ameahidi kuwa serikali yake itaendelea kutoa misaada kwa tanzania.
"nilikuwa nazungumza na balozi wa marekani nchini na amenieleza kuwa rais wa nchi hiyo, barack obama akiwa katika mkutano wa baraza la usalama la umoja wa mataifa alitolea mfano kuwa tanzania ni nchi inayofuata utawala bora hivyo wataendelea kutusaidia," alisema kikwete,
"maneno haya yanasemwa na wamarekani sio mimi... Watu wanasema tu marekani, marekani lakini huo ndio ukweli wenyewe; huo ndio ujumbe niliopata; wameonyesha kutusaidia na watatusaidia,".
source: Mwananchi
je kweli huyu ni mtu anayeweza kuitoa tanzania katika wimbi la umasikini? Kiongozi anayesema ataongoza nchi kwa misaada kweli ndugu zangu hasa wana ccm mnamfagilia kweli?
Bila ubishi wahisani wameona hila za ccm na matumizi mabaya ya fedha, unategemea nani atakuwa tayari kuchangia budget ya tanzania? Mwaka huu tumeona budget haijatosha hadi serekali imeamua kukopa bank, leo hii kikwete (mi nadiriki kumuita kiwete) anawaambia wananchi kuwa tutasaidiwa hivyo waichague ccm....very crazy!
america has never invested anywhere withouut vested intrests. Evene though obamba is black but he is an american!!!!
Mkuu! Hawa bavicha wa enzi za JK baadae wakawa wa enzi za Magu na sasa Samia, hakika vichwa vyao vina matatizo sanaWAkati tunaposifia safari na matendo ya Samia tukumbuke na haya. Huko ndo tunakorudi.
Kweli wewe ni kijana wa Jana ndio maana tunawaangaliaga tu watu wanakuja na kutukana wazee wao.Kiranga ni wa kitambo humu kumbe
Tunarudi Kwa Kasi kubwa sana.WAkati tunaposifia safari na matendo ya Samia tukumbuke na haya. Huko ndo tunakorudi.
Hivi wewe mtu anayepanda ndege usiku tena kwa siri hata mswaki hajapiga kwenda China kumuokoa muuza unga asinyongwe ni mtu wa kumtilia maanani kweli? The guy was never serious.........kabla ya kupanda jukwaani mjini Ludewa wilayani Mbalali, Kikwete alikuwa akizungumza na simu na baada ya kumaliza aliwaambia wananchi kuwa alikuwa akizungumza na balozi wa Marekani nchini Tanzania na kwamba balozi huyo amemueleza kuwa Rais Barack Obama ameahidi kuwa serikali yake itaendelea kutoa misaada kwa Tanzania.
"Nilikuwa nazungumza na balozi wa Marekani nchini na amenieleza kuwa rais wa nchi hiyo, Barack Obama akiwa katika mkutano wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa alitolea mfano kuwa Tanzania ni nchi inayofuata utawala bora hivyo wataendelea kutusaidia," alisema Kikwete,
"Maneno haya yanasemwa na Wamarekani sio mimi... watu wanasema tu Marekani, Marekani lakini huo ndio ukweli wenyewe; huo ndio ujumbe niliopata; wameonyesha kutusaidia na watatusaidia,".
Source: Mwananchi
JE KWELI HUYU NI MTU ANAYEWEZA KUITOA TANZANIA KATIKA WIMBI LA UMASIKINI? KIONGOZI ANAYESEMA ATAONGOZA NCHI KWA MISAADA KWELI NDUGU ZANGU HASA WANA CCM MNAMFAGILIA KWELI?
Bila ubishi wahisani wameona hila za CCM na matumizi mabaya ya fedha, unategemea nani atakuwa tayari kuchangia budget ya Tanzania? Mwaka huu Tumeona budget haijatosha hadi serekali imeamua kukopa Bank, Leo hii Kikwete (mi nadiriki kumuita Kiwete) anawaambia wananchi kuwa tutasaidiwa hivyo waichague CCM....VERY CRAZY!