Hivi kiafya mida ya usiku mtu akienda haja ndogo mara 4 ni sawa?

Inaweza ikawa kawaida kama umekunywa maji , maboga na matunda yenye maji mengi na pombe japooo nenda hospital kapm sukari

Kawaid ukiwa unapata usingz mzur na umekunywa maji utakojoa mara nying san ni mara 3 tuu.

Ukiwa macho huna usingz usiku unawez kojoa ata mara 5.
 
Wadau kama kichwa cha habari chajieleza hapo juu, kwenda short call mara 4 usiku.
Ni sawa kwani ni mwili unajirekebisha wenyewe. Ila inaweza kuwa kiashiria cha tatizo lingine la kiafya mfano kisukari.
 
Inaweza ikawa kawaida kama umekunywa maji , maboga na matunda yenye maji mengi na pombe japooo nenda hospital kapm sukari

Kawaid ukiwa unapata usingz mzur na umekunywa maji utakojoa mara nying san ni mara 3 tuu.

Ukiwa macho huna usingz usiku unawez kojoa ata mara 5.
Kuna mtu huwa hapendi kunywa maji ,sasa anapokunywa tu haizidi Dk 30 atakojoa mara mbili au tatu zaidi ya maji aliyokunywa..pia akihisi haja kubwa..ni atakojoa sana Kwanza kabla ya kujisaidia.

Upande wa kushoto wa tumbo huwa kama
Misuli inabana akiwa na haja zote mpaka zitoke.

Keshapima sukari,Figo, nk..yuko sawa ..

Inaweza kuwa nini shida hapo?!
 
Pengine UTI
 
Mwambie apime tez dume na afanye mazoezi na kutembea kukumbia na kegal then afanye phtherapy x 3 per month , mwez ukiisha anawez kuw
sswa

Back
Top Bottom