Hivi ki halali uyu ni mke au bado mchumba?

My Savior

Senior Member
Sep 11, 2019
106
500
Ndio ndugu yangu kinacho ni huma mimi
Pamoja na vituko vyote Ivo bado na mpenda

Na jaribu kumwambia ana ni wekea kiburi
Ndo nataka kudai pesa zangu
Mutu ba kongo.
hutopata pesa yako hapo zaidi utapoteza muda wako.
solution ni 2.

1)Uroge.ki uchawi wenu unaosifika wa kongo
2)samehe na achia kwa Mungu, and move on

NB:Unaweza kudhani unampenda kumbe ndumba zinafanya kazi, sometimes mademu wa bongo ni washirikina mnoo
 

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
5,002
2,000
Una cheti cha ndoa?, Kama ndio basi uyo ni mkeo kama hapana basi huyo sio mkeo. Ndoa ni ndoa endapo tu itasajiliwa kwa msajili wa ndoa na kikatolewa cheti cha usajili.

Ndoa ni cheti, hayo mengine ni ziada zisizo msingi sana.
 

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
4,966
2,000
Habari ndugu zangu, Naombeni ushauri wenu.

Mimi Kuna mwanamke mmoja ambaye tulipendana naye toka 2018
Tulihanza mausiano yetu
Mpaka tukatambulishana kwa wazazi waka tujuwa
Baada ya apo tulipanga kuowana mimi na yeye Kwasababu mimi
Tuka
Mungu ni Mungu tu.

Kaumba wanawake wa kila sampuli sasa inapotokea anakusumbua huyu wewe huwezi kujiongeza.

Acha upumbafu mimi nasema acha upumbafu huyo hesabia kuwa ni wa field songa mbele Tanzania nyama ya tembo ina wanawake sampuli zote micharuko na wapole, wenye hekima na madanga hivyo nasema songa mbele papaa acha lawama midume hatulalamiki kamata pisi mpya.
 

kwisha

Senior Member
Sep 9, 2021
191
500
Una cheti cha ndoa?, Kama ndio basi uyo ni mkeo kama hapana basi huyo sio mkeo. Ndoa ni ndoa endapo tu itasajiliwa kwa msajili wa ndoa na kikatolewa cheti cha usajili.

Ndoa ni cheti, hayo mengine ni ziada zisizo msingi sana.
Ninacho cheti cha ndoa ambacho tulisajili ambassade ya DRC

Yeye ana sema ni fake
Na awawezi mfanya lolote
Sasa sijui Kama ana jivunia Kwasababu yupo katika inch yake
Mimi nataka kuongeya na ambassade ni muhulize Kama wanafungisha ndoa fake pale ofisini kwao
Maana uyu mtoto wa kike ana jiona saana
 

luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
12,850
2,000
Hakuna diaspora ambae alishakuwa na ndoa ikadumu/ kuwa wenye furaha.so wewe sio wa kwanza.mara nyingi wakaka ndo wanazingua.sasa kwako mdada ndo kaleta shida ila hatuwezi kuamini maneno yako naana hatujui hili jambo kiundani.

Mke ni wa kukaa nae ndani.kama mlioana ukamuacha huku huyo sio mke tena.

Ushauri, omba talaka mahakamani uwe huru kuoa mke mwingine.
 

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
9,876
2,000
Kwa nini hukumpakia vumbi la congo,huyo nenda mahakamani kavunje ndoa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom