Hivi Kenya Walishika Kweli Ng'ombe Elf 4 Za Tanzania


M

MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Messages
7,373
Likes
1,524
Points
280
M

MkamaP

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2007
7,373 1,524 280
Wadau
Kuna habari zilionekana kwamba Kenya imeshika ng'mbe zaidi ya elf 4, habari ile ilikuwa ya kweli ama ulikuwa uzushi tu? Maana kama walishika hicho kiasi mbona wanaendelea kulalamika wakati Tanzania imeshika ngombe elf moja tu na ushee?
 
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Messages
7,624
Likes
16,862
Points
280
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2013
7,624 16,862 280
Serikali ya Kenya hata kama ikishika mifugo milioni ya Tanzania, haiwezi kufanya yale yaliyofanywa na serikali ya Tanzania kwa wale vifaranga na wale Ng'ombe iliowakamata..
Kenya inaongozwa na mtu mwenye AKILI.
 
mmh

mmh

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
1,232
Likes
1,228
Points
280
mmh

mmh

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2010
1,232 1,228 280
Ile ilikua ni chai tu an empty revenge hawana lolote zaidi ya fix tupu, kuna ng'ombe inatoka Tanzania inaenda Kenya kutafuta malisho?

Labda waende kula mawe
Kenya ni jangwa lazima watubembeleze tuwape hela na chakula. Tunawakuzaga tu bila kujua. Kenya wanatuhitaji sana kuliko tunavyowahitaji. Africa mashariki lazima tujue nani ni nani
 
python1

python1

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Messages
298
Likes
171
Points
60
python1

python1

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2017
298 171 60
Serikali ya Kenya hata kama ikishika mifugo milioni ya Tanzania, haiwezi kufanya yale yaliyofanywa na serikali ya Tanzania kwa wale vifaranga na wale Ng'ombe iliowakamata..
Kenya inaongozwa na mtu mwenye AKILI.
Tanzania sio shamba la bibi huwajui wakenya ndomana unaongea utumbo wako huo
 
mwayungi

mwayungi

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2017
Messages
1,588
Likes
2,700
Points
280
mwayungi

mwayungi

JF-Expert Member
Joined May 9, 2017
1,588 2,700 280
Ile ilikua ni chai tu an empty revenge hawana lolote zaidi ya fix tupu, kuna ng'ombe inatoka Tanzania inaenda Kenya kutafuta malisho?

Labda waende kula mawe
Mkuu nimekupata zaidi nilishangaa kusikia mifugo ya tz iende kenya
 
REDEEMER.

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
5,704
Likes
7,870
Points
280
Age
25
REDEEMER.

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
5,704 7,870 280
Serikali ya Kenya hata kama ikishika mifugo milioni ya Tanzania, haiwezi kufanya yale yaliyofanywa na serikali ya Tanzania kwa wale vifaranga na wale Ng'ombe iliowakamata..
Kenya inaongozwa na mtu mwenye AKILI.
Si uwaombe uraia unalilia tu bila msaada hapa jf
 
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Messages
7,624
Likes
16,862
Points
280
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2013
7,624 16,862 280
Tanzania sio shamba la bibi huwajui wakenya ndomana unaongea utumbo wako huo
Pumbavu kabisa huna akili wewe..
Do u know what's International Diplomacy??
Do u know what's the repercussions of what has been by Tanzania in the relationship between the two Countries??
You are an insane creature like your President..
Imbecile.
 
REDEEMER.

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
5,704
Likes
7,870
Points
280
Age
25
REDEEMER.

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
5,704 7,870 280
Mkuu nimekupata zaidi nilishangaa kusikia mifugo ya tz iende kenya
Ng'ombe wa wamaasai wa Tanzania wamejaa mvomero, kilindi na Pwani hakuna ng'ombe ya mmaasai wa Tanzania inaenda Kenya, ng'ombe wa wasukuma wamejaa kwenye mapori ya Kagera, Kigoma, Geita na Tabora hakuna ng'ombe wa msukuma anaenda nje ya Tanzania

Sasa jiulize hao ng'ombe Kenya wanasema wamewakata mali ya watanzania ni wa kina nani?
 
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
22,199
Likes
47,981
Points
280
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
22,199 47,981 280
Yule Gavana alisema hawawezi kushikilia ng’ombe za wamasai wenzao kwasababu wao ni ndugu.
 
python1

python1

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Messages
298
Likes
171
Points
60
python1

python1

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2017
298 171 60
Pumbavu kabisa huna akili wewe..
Do u know what's International Diplomacy??
Do u know what's the repercussions of what has been by Tanzania in the relationship between the two Countries??
You are an insane creature like your President..
Imbecile.
Mh!niambie unayejua International diplomacy???
Niambie repercussions zake??
Siku zote mpumbavu na kichaa huji wai kuji defend kwa kuwai kuita wenzie hivyo.
Narudia tena huwajui wakenya na vitu walivyotufanyia before ndomana unalopoka lopoka hapa. Hiyo international diplomacy unaijua ww wakenya hawaijui wangekua wanajua wasinge kuwa wanfanya ujinga wao.
Kaa kimya hiyo international diplomacy is just an ideal .so funga bakuri lako
 
REDEEMER.

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
5,704
Likes
7,870
Points
280
Age
25
REDEEMER.

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
5,704 7,870 280
Tupo busy na pipeline laying corner stone here in Mtukula ni kupaa tu na wanaojitambua [HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG] maneno yapo tanapa
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
7,406
Likes
7,096
Points
280
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
7,406 7,096 280
Pumbavu kabisa huna akili wewe..
Do u know what's International Diplomacy??
Do u know what's the repercussions of what has been by Tanzania in the relationship between the two Countries??
You are an insane creature like your President..
Imbecile.
Wewe ndiyo zuzu usiyejua lolote, hujui chochote kuhusu international affairs zaidi ya makelele hapa JF, hakuna kitu muhimu katika international relation kama kuheshimu sheria na mipaka ya nchi husika, kama Tanzania sheria yake inazuia mifugo ya nchi jirani kupelekwa katika ardhi yake, hilo ni lazima nchi jirani zilijue na kuliheshimu, bahati nzuri ng'ombe zenyewe zilipelekwa mahakamani na sheria ikachukua mkondo wake, wewe ni nani hadi upingane na sheria, au unataka kumuiga huyo unayesema ana akili kwa kumkashifu jaji mkuu kwa kumuita mkora?, mtu wa namna hiyo ndiye unayemtaja kuwa na akili?
 
Bitter pill

Bitter pill

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2017
Messages
923
Likes
769
Points
180
Bitter pill

Bitter pill

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2017
923 769 180
Serikali ya Kenya hata kama ikishika mifugo milioni ya Tanzania, haiwezi kufanya yale yaliyofanywa na serikali ya Tanzania kwa wale vifaranga na wale Ng'ombe iliowakamata..
Kenya inaongozwa na mtu mwenye AKILI.
Wakenya wenye akili ni hawa hapa,sio hiyo "criminal" wa the Hague.
7fb341ae1b53c88be19f69aa7b710131.jpg
1b510cf2940d546e1db678d2e2aa3d84.jpg
8177ec605bb7300cf95c348669668233.jpg
 
M

MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Messages
7,373
Likes
1,524
Points
280
M

MkamaP

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2007
7,373 1,524 280
Serikali ya Kenya hata kama ikishika mifugo milioni ya Tanzania, haiwezi kufanya yale yaliyofanywa na serikali ya Tanzania kwa wale vifaranga na wale Ng'ombe iliowakamata..
Kenya inaongozwa na mtu mwenye AKILI.
Na hapa unasema je?
Security forces shoot 500 cows in Laikipia as herders protest
Security forces shoot 500 cows in Laikipia as herders protest By James Munyeki | Published Thu, March 30th 2017 at 09:47, Updated March 30th 2017 at 13:37 GMT +3 SHARE THIS ARTICLE Share on Facebook Share on Twitter Security officers carrying out a security operation in Laikipia County are on the spot after herders claimed hundreds of their animals were killed last week. Questions arose after it emerged that the officers drawn from different police units and the Kenya Defence Forces have been shooting livestock grazing on the ranches with live bullets to force the illegal herders to flee. The most affected ranches include Laikipia Nature and Conservancy, Mugie, Sossian and Suyian, where many animals have been shot dead by the officers. When The Standard visited Laikipia Nature and Conservancy, hundreds of carcasses could be spotted leading into the conservancy. In one of the conservancies, there were rotting carcasses near a dam where the cattle had gone to drink water. The security officers also detained The Standard team for several hours after they ventured onto the ranch to assess the situation following reports from the herders. Confiscated cameras The officers confiscated cameras and deleted some pictures and video clips before The Standard team was released on Tuesday evening. According to the herders, a contingent of police officers was ferried in by helicopters and lorries on Monday. They used explosives and guns to kill the animals. An estimated 500 cows were killed during the one-hour operation, according to the herders. "They were ferried to the dam, where we had taken our animals for watering, in three choppers and more than 10 lorries. We scampered and hid in the nearby bushes. Immediately after they arrived, they started shooting at the animals," said Benson Lotuliama. He said they also used explosives at a site where hundreds of animals were and killed all of them. "It was like a nightmare, seeing our animals being killed mercilessly with explosives. Other officers used their guns to shoot at the cows and sheep," he said. The officers, he claimed, carried some of the carcasses in their lorries to another site where over 200 cows were also killed in the same manner. The herders protested, saying all they were looking for was pasture and water for their livestock. James Lomeron, another herder, said he lost his entire herd of 256 cows. "This was my only source of income and now I have nothing. I travelled to the ranch to look for pasture and water, and now they have killed my cows. This is not right." Grazing permission Mr Lomeron regretted that even with permission from ranch owners, their animals were killed by the security officers. "Many of us have permission from the ranch owners but they still continue to kills our animals. Why are they killing our animals yet we are not harming anyone?" He said they would take legal action against the national government so they could be compensated. But Nyahururu OCPD Joseph Chepkowny, who is in charge of the operation in the conservancy, denied the claims, saying the animals were shot during an exchange of fire between the police and the herdsmen. "They were using the animals as shields during an exchange of fire and that is how the animals were shot. We cannot go shooting at animals aimlessly as they are claiming," he said. Meanwhile, armed bandits on Wednesday ambushed security officers at Kamwenje Police Post in what was believed to be a retaliatory attack after the officers killed their livestock. The bandits stormed the station at around midday, turning the area into a battlefield. The attackers were however overpowered and repulsed.
Read more at: Security forces shoot 500 cows in Laikipia as herders protest
 
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
16,590
Likes
8,889
Points
280
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
16,590 8,889 280
Washike wasishike haituhusu sheria zifuatwe! Amina Mohamed kashaufyata anadai hawatafanya lolote. Ujinga ni pale Watanzania watakapo-take risk na kupeleka mifugo kule.
 

Forum statistics

Threads 1,236,249
Members 475,030
Posts 29,251,664