Darasa zima div 1 pts 7.
Halafu wanazunguka na bahasha za kuomba ajira kwa kina nandy .
hii shule ipo kilimanjaro?Wameona mkoa wa Kilimanjaro Kila mwaka matokeo ya form four inaongoza wakaamua kutotoa matokeo kimikoa kama zamani, sijapenda hii.
Haipo KLM nimakosoa utaratibu WA kutotoa mikoa bora,wilaya bora ,shule bora na mwanafnz bora kama ilivyokuwa zamanihii shule ipo kilimanjaro?
nimeshangaa mdau anajipa ujiko.Ipo Bukoba mjini
kilimanjaro ndio ilikuwa inaongoza ufaulu bora miaka mingi?Haipo KLM nimakosoa utaratibu WA kutotoa mikoa bora,wilaya bora ,shule bora na mwanafnz bora kama ilivyokuwa zamani
Ni walimu tu, motisha kwa walimu na mazingira bora.Imagine katibu Darasa zima lina A. Wanafundishane hawa watu. Serikali ipige visit hapo Kemebos ijifunze wanavyofundisha.
Picha ya mwisho ni makongo juu secondary school tena wanasoma arts wote lakin tazama majanga.
View attachment 2499028View attachment 2499029View attachment 2499030View attachment 2499032
Soma hii taarifa hapa chini utajua nini kinachoendelea kuhusu elimu kanda ya ziwa. Kwa kifupi ndio kanda inayo ongoza kwa wizi wa mitihani.Imagine katibu Darasa zima lina A. Wanafundishane hawa watu. Serikali ipige visit hapo Kemebos ijifunze wanavyofundisha.
Picha ya mwisho ni makongo juu secondary school tena wanasoma arts wote lakin tazama majanga.
View attachment 2499028View attachment 2499029View attachment 2499030View attachment 2499032
Raisi anaogopa anapotoka vilaz wengi wanashika mikia kwaiyo kaona bora afute utaratibuHaipo KLM nimakosoa utaratibu WA kutotoa mikoa bora,wilaya bora ,shule bora na mwanafnz bora kama ilivyokuwa zamani
Sasa hii inahusianaje na Kemebos kufaulu hivyo form four....Soma hii taarifa hapa chini utajua nini kinachoendelea kuhusu elimu kanda ya ziwa. Kwa kifupi ndio kanda inayo ongoza kwa wizi wa mitihani.
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limezifungia shule 24 kuwa vituo vya mitihani ya Taifa baada ya kuthibitika kupanga kufanya udanganyifu katika mitihani ya kumaliza elimu ya msingi.
Shule hizo ambazo ni sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote vya mitihani nchini, ndani yake zipo shule maarufu ikiwemo ya Musabe ya jijini Mwanza na St Anne Marie ya jijini Dar es Salaam na shule ya Rweikiza ya mkoani Kagera.
Hayo yameleezwa leo Desemba Mosi na Kaimu Katibu Mtendaji wa Necta, Athuman Amasi wakati akitangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza darasa la saba mwaka 2022.
Akizitaja shule hizo ni Kadama shule ya msingi iliyopo Chato- Geita, Rweikiza (Bukoba), Kilimanjaro shule ya msingi (Arusha) Sahare (Tanga), Ukerewe (Mwanza), Peaceland (Mwanza), Karume (Kagera), Al-hikma (Dar es Salaam)
Nyingine ni Kazoba (Kagera), Mugini (Mwanza), Busara (Mwanza), Jamia (kagera), Winners (Mwanza), Musabe (Mwanza), Elisabene (Songwe), High Challenge (Arusha), Tumaini (Mwanza), Olele (Mwanza), Mustlead (Pwani).
Pia zipo shule za Moregas (Mara), Leaders (Mara), Kivulini (Mwanza) na St Severine (Kagera).
“Vituo hivi vimefungiwa kwa mujibu wa kifungu 4(8) cha kanuni za mitihani mwaka 2016 hadi hapo Baraza litakapojiridhisha kuwa ni salama kwa uendeshaji wa mitihani ya kitaifa,” amesema.
Mtihani huo wa kumaliza elimu ya msingi ulihusisha watahiniwa zaidi ya 1.38 milioni nchi nzima.