Hivi ke mmekuaje siku hizi mpaka tuna struggle sana kuwapata?! Mmelishwa nini.?.

Wanawake! Wanawake! Wanawake!

Mmekuaje siku hizi mpaka tunatumia nguvu kubwa Sana kuwapata bila mafanikio?! Mnajivunia Nini siku hizi?

Unamtongoza mdada anakuzungusha wee
Mara aseme una tabia mbaya eti kisa umemtongoza! Acheni hivo bn.

Akiona amekuzungusha sana anaamua kukubali kinafki ila kupata mzigo inakua kibarua kingine, atakuzungusha mpaka utahisi huenda labda Hana unachokiomba.

Mwingine akikupa contact sahau kujibiwa/ kupokelewa sim zako ( hapa wazee wa kufuta namba wameongezeka sana )

Wanawake punguzeni makali mnatuumiza wenzenu.
Ni wapi huko unakokaa ambako wanawwake wanakuzunguusha?
 
Wanawake! Wanawake! Wanawake!

Mmekuaje siku hizi mpaka tunatumia nguvu kubwa Sana kuwapata bila mafanikio?! Mnajivunia Nini siku hizi?

Unamtongoza mdada anakuzungusha wee
Mara aseme una tabia mbaya eti kisa umemtongoza! Acheni hivo bn.

Akiona amekuzungusha sana anaamua kukubali kinafki ila kupata mzigo inakua kibarua kingine, atakuzungusha mpaka utahisi huenda labda Hana unachokiomba.

Mwingine akikupa contact sahau kujibiwa/ kupokelewa sim zako ( hapa wazee wa kufuta namba wameongezeka sana )

Wanawake punguzeni makali mnatuumiza wenzenu.
Unategemea wewe ulivyo mkuu mbona kitonga Sana siku izi
 
Utakuwa hauna uwezo wa kuhudumia. Tafuta kazi, kuwa na makazi yako, kuwa na ratiba zako, wanawake utawakimbia wewe, namba zitajaa hadi utakuwa unatafuta wa kufuta.....
Haelewi kanuni huyo, anataka demu wa mluzi! Sikuhizi hamna hio hasa mjini ni miundombinu tu. Wawekezaji watakuja wenyewe 😂😂😂
 
Wanawake! Wanawake! Wanawake!

Mmekuaje siku hizi mpaka tunatumia nguvu kubwa Sana kuwapata bila mafanikio?! Mnajivunia Nini siku hizi?

Unamtongoza mdada anakuzungusha wee
Mara aseme una tabia mbaya eti kisa umemtongoza! Acheni hivo bn.

Akiona amekuzungusha sana anaamua kukubali kinafki ila kupata mzigo inakua kibarua kingine, atakuzungusha mpaka utahisi huenda labda Hana unachokiomba.

Mwingine akikupa contact sahau kujibiwa/ kupokelewa sim zako ( hapa wazee wa kufuta namba wameongezeka sana )

Wanawake punguzeni makali mnatuumiza wenzenu.
Boresha swaga utawadaka kiwepesi
 
Back
Top Bottom