Hivi ke mmekuaje siku hizi mpaka tuna struggle sana kuwapata?! Mmelishwa nini.?.

Hakuna msimu ambao wanawake wamekuwa cheap kuwapata kama awamu hii ya magu, hao unaowaongelea sijui ni wa sayari gani mzee
 
Wanawake! Wanawake! Wanawake!

Mmekuaje siku hizi mpaka tunatumia nguvu kubwa Sana kuwapata bila mafanikio?! Mnajivunia Nini siku hizi?

Unamtongoza mdada anakuzungusha wee
Mara aseme una tabia mbaya eti kisa umemtongoza! Acheni hivo bn.

Akiona amekuzungusha sana anaamua kukubali kinafki ila kupata mzigo inakua kibarua kingine, atakuzungusha mpaka utahisi huenda labda Hana unachokiomba.

Mwingine akikupa contact sahau kujibiwa/ kupokelewa sim zako ( hapa wazee wa kufuta namba wameongezeka sana )

Wanawake punguzeni makali mnatuumiza wenzenu.

Nasi wanaume tuna tabia mbaya tena chafu na ya hovyo, hao wanawake wakuwanyanyasa nao ni watu wanaumia wanapofanyiwa mambo ya hovyo, juzi kati katika hotel moja kijana alitembelewa na mpenzi nadhani walikutana Facebook, kijana akamwambia huyo mpenzi wake simu haina chaji ya kutosha anaizima kwahiyo anawapa ndugu zake (huyo kijana) namba ya huyo dada wampigie kupitia simu ya huyo dada, simu ilipopigwa na hao ndugu zake yule kijana akajifanya hamsikii vema aliyempigia akaenda nje kutafuta location nzuri huku amevaa Tshirt na amejifunga taulo, binti wa watu akajua kijana anakwenda anarudi, si akaishia hukohuko na simu ya binti wa watu na kumwacha chumbani na simu kitochi chake kibovu!! usiku mtoto wa watu anahangaika kupita huku na huku kumtafuta akiamini hajaenda mbali kwakuwa ametoka na taulo kumbe ameshachochoa na simu ya thamani ya mtoto wa watu.

Mabinti kazeni uzi wanaume wamewafanya vichwa vya wendawazimu.
 
Back
Top Bottom