Hivi kazi ya Ualimu ni adhabu au ajira? Maana serikali inavyo wafanyia hadi huruma. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kazi ya Ualimu ni adhabu au ajira? Maana serikali inavyo wafanyia hadi huruma.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Alagwa, Jun 1, 2012.

 1. Alagwa

  Alagwa Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Sio kila siku tunawalalamikia walimu tuuu, Mara Ohoo kiwango cha elimu kinashuka mara ohhhh watoto hawaelewi kitu!!!!!!Kama unaakili timamu hauwezi kumlalamikia mwalimu kwa hayo yote wakati hauju lolote huhusu hali ya huyo unayemtengemea akufundishie mtoto wako awe na maisha bora na akusaidie wewe, Wakati maisha ya mwalimu ni magumu na hali ngumu sana kuwa ni serekali yenu inaweza kupitihsa zaidi ya miezi 2 bila ya kumpa mshahara wake mwalimu. Kweli nimewaonea sana huruma walimu wapya kwani hata majibu ya wahudumu wa almashauri ni ya ovyo sana kuhusu mishahara ambayo sasa inakimbilia miezi 4 ya walimu wapya. Nyie wahudumu wa almashauri ivi kama mtoto wako ni mwalimu alafu amepangwa ugenini kama walivyo walimu hawa unaweza kumjibu majibu ya ovyo ovyo katika haki yake na amesha tenda kazi yake aliyo pewa na serekali. Usijisahau mwalimu pia ana mahitaji yake pia kama wewe ivi tubikwambia hautauona mshahara wako wa miezi 3 siunaweza jinyonga wewe sasa ujiulize mwalimu anatumia njia gani kuisha kwa muda wote bila ya fedha zenu za majungu na malalamiko .HONGERENI SANA WALIMU WOTE Tz MUNGU ANAJUA KILIO CHENU NA IPO SIKU YOTE HAYA YATAFIKA MWISHO Na Paul Alagwa
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Paul jipange vizuri basi. Huenda una hoja nzito lakini maneno mengine ukiyakosea yanakuwa kama matusi vile!
   
 3. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,271
  Likes Received: 3,004
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa mbovu sana wa lugha dah...
   
 4. f

  fered mbataa JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 240
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  labda mother language inamsumbua
   
 5. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Haya ni matokeo ya mfumo dhaifu wa elimu ya Tz, hivyo tusimlaumu huyo jamaa.
   
 6. s

  sanga malua JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii ndio hali ya elimu TANZANIA! KISWAHILI hali ndio hii, je kimombo?ngoja mie nipite tu nijifanye sijaona.
   
 7. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Dah! Jamaa anakoroga lugha hajaeleweka kabisa! Atakuwa Mwalimu huyu ana kisirani!
   
 8. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Kazi ya wito hii
   
 9. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mimi mwenyewe nimehisi jamaa atakuwa kuna jambo anataka kulitoa tujadiri.:A S-coffee:
   
 10. K

  Korongwe Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Kama kwa idadi yao hawawezi kuhakikisha wanaheshimiwa nani awasemee?:A S-baby:
   
 11. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kama aliyeandika hapa ni mwalimu ,kazi ipo
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Umeanza vizuri, ila ukamalizia kwa Majungu na wewe. Issue kama kweli hawajalipwa basi Serikali ijitahidi iwalipe, ila suala la kusema ni pesa za majungu sijui una maana gani? si majungu hayo unayaendeleza? Serikali haiwezi kuwaajiri watumishi wake kwa majungu Mkuu hapo nadhani kidogo umeenda mbali au labda ulikuwa unataka kufikisha ujumbe tofauti na mada yako.
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Huyo hawezi kuwa mwalimu, huoni kama anapiga majungu tu hapa jukwaani
   
 14. m

  mwamola Senior Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana ualimu ni kazi ya wito. Kwani walimu si ni wote kuanzia shule ya msingi hadi vyuo vikuu sio? Kama ndivyo kuna jamaa yangu anafanya kazi pale udom anasema wao walikuwa promoted toka tutorial assistant kuwa assistant lecturers november 2010 na wakajalipwa mshahara huo wa promotion december 2011 (miezi 13) baadae. Pamoja nakulipwa huko, walilipwa daraja moja chini. Cha ajabu zaidi february 2012 wakati wanajaza salary arrears claim form wakalazimishwa kujaza mshahara wa chini ya stahili yao kwa maelezo kuwa hazina itawarekebishia automatically. Pamoja na kujaza form za madai ya mshahara huo ambao ulikuwa haujalipwa (arreas) hadi mwezi huu wa sita hawajalipwa stahili yao na hazina wamekuwa wakiwarusharusha. Kwa mazingira kama haya bora seikali ingewatamkia walimu au wahadhiri hawa kuwa kazi yao haipaswi kuwa na mshahara na kwa hiyo hawastahili kulipwa
   
 15. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,990
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Kwani hujajua anawakilisha kitu gani?
   
 16. R

  RC. JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 446
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo ndio mwl.bwana kiswahili yake mbofu sana,sijui toto yetu tafundishwa nini na hii mwl.?
   
 17. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hahahaha yaani nawe tena umekosea? Wasilisha au wakilisha?
   
 18. H

  Hurricane Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kimbunga; Huyo ndiyo mwalimu anaye Walala mikia Almashauri halafu anategemea tumlipe mshahara atufundishie watoto wetu kwa lugha hii na maandiko ya hivi. Kweli Tanzania bado sana..... Huyu anaweza kufundisha wanetu kutu lala mikia daily.
   
 19. o

  opportunist2012 Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Msilete uzandiki wenu...kwa nini hamtaki kuwakubali watu waliojitolea kufanya kazi hii ya utumwa na masilah duni...mshahara wa mwalimu wa degree ni zaidi ya nesi mwenye cheti.
   
 20. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Dr.Shukuru Kawambwa anayajua haya?
   
Loading...