Hivi kazi ya Jerry Muro wa Yanga ni ipi?

king pierre

Member
May 30, 2016
82
28
Search Official website ya yanga...utachoka!! habar mpy zilizopo pale n za mwaka 2014 sasa najiuliza huyo mkurugenzi wa masiliano pale yanga anakazi ganii??!! ni aibuu!! Timu ya kimataifa.
 
Afisa habari mbovu kuwahi kutokea Tanzania..hajui hata anatakiwa afanye nini na wakati gani..yaani amekua shabiki kuliko kufanya kazi yake...ajabu yanga wanaona wamepata afisa habari kweli kweli
 
Search Official website ya yanga...utachoka!! habar mpy zilizopo pale n za mwaka 2014 sasa najiuliza huyo mkurugenzi wa masiliano pale yanga anakazi ganii??!! ni aibuu!! Timu ya kimataifa.

Ngoja nipite tu nisije kuchafua bure hali ya hewa kwani huyo Mtajwa hapo juu yupo katika Kiganja changu kama vile remote control ya Tv set yangu. Poleni sana kwa anayewaumizeni ila kwa tunaomjua A to Z tunamwonea sana huruma na kila siku huwa tunamweka katika maombi.
 
Back
Top Bottom