Kigezo cha ualimu ni nini hapo?
Mimi ninge mpa private tuition.Kumfundisha mwenye kitenge hadi aelewe
Kigezo cha ualimu ni nini hapo?
Wewe unaona huyu mwenye Kitenge anafuatilia somo linaloendelea hapo???
Yuko mbaaaaaaalii! Usikute hapo keshamvua ticha kimawazo, haya mambo bana kweli sisi wabongo tushalogwa.