Hivi kazi inaenda kweli hapa?

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486
mwanafunzi.jpg

Huyu aliyejifunika Kitenge natamani ningeweza kuingia kwenye akili yake nione anawaza nini!!!!
 
kwani vipi? wengine huwa ni lip readers asipofnya hivyo hawez kuelewa anafundishwa nini. hasa wale wenye hearing imparement. so she must look at lips far her to learn.
 
Huyu mwenye kitenge somo halipandi kabisaa,badala ya kumakinika kwenye computer,anamwangalia ticha wake,ana lake jambo!
 
Yuko mbaaaaaaalii! Usikute hapo keshamvua ticha kimawazo, haya mambo bana kweli sisi wabongo tushalogwa.
 
Yuko mbaaaaaaalii! Usikute hapo keshamvua ticha kimawazo, haya mambo bana kweli sisi wabongo tushalogwa.

Mkuu umenichekesha sana!! hapo ukute tayari ameshaona (kimawazo) wapo chumbani.........
 
Nimejikuta nacheka mpaka jirani yangu ananishangaa,kuja kuchungulia hii picha japo na yeye hajui kiswahili lakini ameishia kuangua kicheko na mpaka sasa tumejikuta watu kama 6 wote idara moja tukimshangaa huyu dada mwnye kitenge..
 
Back
Top Bottom