dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,143
- 5,609
Habari zenu vijana kwa wazee,
Miongoni mwa wizara ngumu kabisa kuziongoza ni hizi,
1. Wizara ya nishati na madini
2. Wizara ya maliasili na utalii
3. Wizara ya fedha na mipango
Na nyinginezo, sasa kiukweli katika lakini wizara inayopitia misukosuko mingi ni wizara ya nishati na madini. Tatizo la hii wizara ni kwamba inapata waziri asiekuwa na weledi , tamaa za kujinufaisha mtu binafsi ama ni nini?
Karibu kwa wale wakongwe mtupe aidia kama kuna waziri kashachomoka kiusalama katika hii wizara.
By
Dimaa.